Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Aisee, hawa tunawakaribisha mara ngapi, au ndiyo sababu za kupata posho?
hili group lingine. Kulikuwa na magroup mawali, la kwanza na hili.Aisee, hawa tunawakaribisha mara ngapi, au ndiyo sababu za kupata posho?
Hatujawahi kufanana na wachina, walikuwa vizuri kuliko sisi. Famine iliyotokea (1959-1962) walikuwa kwenye kipindi cha mpito (baada ya vita na mabadiliko ya kiuchumi na kiutamaduni). Waliokufa kwenye famine ni kama wastani wa 35mil kwenye nchi iliyokuwa na 800mil hivi (4%).una uhakika? hebu leta uo uahueni ninavyojua mimi hata fedha za TAZARA zilitolewa kipindi cha protests za cultural revolution yaani great leap forward kukiwa na njaa kali! Hivi vitu chunguza undani wake usiwe mtu wa kuropoka na kuwa mwepesi wa kujifananisha!
jaribu kujua kinachoongelewa hapa!Hatujawahi kufanana na wachina, walikuwa vizuri kuliko sisi. Famine iliyotokea (1959-1962) walikuwa kwenye kipindi cha mpito (baada ya vita na mabadiliko ya kiuchumi na kiutamaduni). Waliokufa kwenye famine ni kama wastani wa 35mil kwenye nchi iliyokuwa na 800mil hivi (4%).
Leased? Mkopo wa Project Mawingu umeisha?KQ has leased a new Airbus A330.. chini ya maji tu, did not make it to news headlines
View attachment 2848777
Auricair imenunua more aircraft 2023 than the whole of Kundustan!Air Kenya on the other hand aquired one View attachment 2848792View attachment 2848793
Kwa kujisifu huko, nilifikiri mmenunua, kumbe mme lease?KQ has leased a new Airbus A330.. chini ya maji tu, did not make it to news headlines
View attachment 2848777
Viwanda vyetu vilikufa kwasababu ya sabotage na haya yanaendela mpaka leo, mfano mzuri ni jinsi walivyopinga ujenzi wa bwawa la Nyerere (no loan na kupiga propaganda kwenye media zao)Mimi sikufananisha Tanzania na China, but what I said ni kuwa, tungekuwqa mbali kiuchumi na viwanda vyetu vingi vilivyokufa vingekuwa mbali kwa sasa, thats all - which is true.
Wanakuja kwa awamu haoAisee, hawa tunawakaribisha mara ngapi, au ndiyo sababu za kupata posho?
Kipindi cha mkapa aliingizwa mkenge viwanda vingi mno vilikufa na vingine vikahamishiwa kunyalandViwanda vilikufa kwasababu ya sabotage.
Miaka ya kati ya themanini bei ya kahawa ilikuwa around $0.64 kwa pound. Serikali iliamua ku double uzalishaji (gharama za pembejeo, nguvukazi, mbolea ziliongezaka). Wakubwa, (ambao ndiyo wapanga bei) wakashusha bei ya kahawa by half na kuwa $0.32, tukapata hasara. Baadhi wanaweza kusema ni suala la demand/supply ila ukweli ni sabotage tuu.
Sina mrengo wowote kama wapalestina wanashirikiana vizuri na Tanzania nitawasapoti kama wayahudi wanashirikiana vizuri na Tanzania pia watasapotiwa vita vyao havinihusu wauane wamalizane watajua wenyewe, kibaya ni pale kwenye mapigano yao wanauawa watu wasiohisika na ugomvi wao, hilo ni kosa kubwa hata kwenye sheria za kimataifa za kivitaWayahudi waache kukalia Ardhi za Wapalestina, vinginevyo mtaingia mliomo na wasiokuwemo.
Tanzania na Palestine ni marafiki wa kihistoria Nyerere na Arafat.
Nyie Wayahudi wa Tandahimba ndio mnalazimisha urafiki na Israel wakati tiliwahi timua Ubalozi wao.
Zilikuwa sera za kimafia za debt restructuring za IMF ambazo mwalimu alizikataa na kuamua kung'atuka. Mwinyi alipoingia akazikubali, ndipo tukaondoa National service (vijana tukakosa uzalendo), tukaifungua nchi kwa kuleta mavitu second hand kama mitumba.Kipindi cha mkapa aliingizwa mkenge viwanda vingi mno vilikufa na vingine vikahamishiwa kunyaland
Haiwezi kua big deal kwasababu mume lease what about mungenunua ingekuaje??KQ has leased a new Airbus A330.. chini ya maji tu, did not make it to news headlines
View attachment 2848777
Vision na matendo sio porojo na stori.🔥🔥
Mama Yuko kazini
View: https://youtu.be/cko82ib-Ndk?si=hN_h2EDfBprTvt2x
Hauna akili,unaringia kitu cha kukodishwa!na hapo ndio muamini kq ina own ndege 3 tu zingine zote za kukodishaKQ has leased a new Airbus A330.. chini ya maji tu, did not make it to news headlines
View attachment 2848777