Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😅😅😅😅😅
FB_IMG_1702987677859.jpg
 
Ukweli sio upumbavu. Ni mpumbavu tu mwenye chuki na ukweli na wengi walio nena ama kushuhudia ukweli mabaya yamewakuta.

Endelea kuziona comments zangu, halafu, andelea pia kufumbia macho ukweli. Wapi Misikiti imepata shida hizi?
View attachment 2846695
View attachment 2846696
Halafu likabomolewa na Waislam Zanzibar

View: https://www.youtube.com/shorts/B9NiapfxBHo?feature=share

Sijui ni Mungu gani mnaomuabudu anayependa violence. Jamaa anachapwa kwakua anakula chakula mwezi wa Ramadhan.

View: https://youtu.be/9DvqXTA1Usg

Sasa kama ni mwezi mtukufu, mwezi wa toba, iwaje wafunga ramadhan wafanye mambo haya ya kikatili? si kila mtu mwenye uwezo wa kiafya wa kukaa masaa 12 bila kula wala kunywa.
View attachment 2846697

View attachment 2846698

Huo ni ukweli kaka mimi sikupingu kama ni wakati wa kuusema ukweli usemwe
 
Hapo Lujiazui Pudong new development area (Financial District) kuna apartments ndefu kuliko mlima Kundustan 😂😂😂

Halafu wakundustan wakiona apartments CBD wanashangaa, Wakiona watu wamesimama kwenye public transport ( Bus, train, etc) wanashangaa, Hivi hawa wakundustan hawana macho ? 😂😂😂😂 Yaani macho yao yanaona mwisho KICC na Kwenye madirisha ya giza ndani ya Mathree yenye kunguni 😂😂😂
 
Hapo Lujiazui Pudong new development area (Financial District) kuna apartments ndefu kuliko mlima Kundustan 😂😂😂

Halafu wakundustan wakiona apartments CBD wanashangaa, Wakiona watu wamesimama kwenye public transport ( Bus, train, etc) wanashangaa, Hivi hawa wakundustan hawana macho ? 😂😂😂😂 Yaani macho yap yanaona mwisho KICC na Kwenye madirisha ya giza ndani ya Mathree yenye kunguni 😂😂😂
I don't think beautiful cities are measured by such monstrosities. Small cities like Rakow, green, fresh, well planned, are much more appealing
 
Hapo Lujiazui Pudong new development area (Financial District) kuna apartments ndefu kuliko mlima Kundustan 😂😂😂

Halafu wakundustan wakiona apartments CBD wanashangaa, Wakiona watu wamesimama kwenye public transport ( Bus, train, etc) wanashangaa, Hivi hawa wakundustan hawana macho ? 😂😂😂😂 Yaani macho yap yanaona mwisho KICC na Kwenye madirisha ya giza ndani ya Mathree yenye kunguni 😂😂😂
There is a lot of peace here
Plac_Wolności_w_Rakowie_9.jpg
 
Back
Top Bottom