Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upumbavu wako utakupeleka pabaya wewe! Usifikiri hizi comment zako hatuzioni
Ukweli sio upumbavu. Ni mpumbavu tu mwenye chuki na ukweli na wengi walio nena ama kushuhudia ukweli mabaya yamewakuta.

Endelea kuziona comments zangu, halafu, andelea pia kufumbia macho ukweli. Wapi Misikiti imepata shida hizi?
1702949379482.png

1702949605230.png

Halafu likabomolewa na Waislam Zanzibar

View: https://www.youtube.com/shorts/B9NiapfxBHo?feature=share

Sijui ni Mungu gani mnaomuabudu anayependa violence. Jamaa anachapwa kwakua anakula chakula mwezi wa Ramadhan.

View: https://youtu.be/9DvqXTA1Usg

Sasa kama ni mwezi mtukufu, mwezi wa toba, iwaje wafunga ramadhan wafanye mambo haya ya kikatili? si kila mtu mwenye uwezo wa kiafya wa kukaa masaa 12 bila kula wala kunywa.
1702950263304.png


1702950649287.png
 
Huu upumbavu wa Watanzania kuelekea Saudi Arabia ulipigwa marufuku kipindi cha Magufuli kwa sababu za ukatili Waarabu huwafanyia watu wesui huko.
Hao Wanaenda Kuajiriwa rasmi na Serikali ya Saudia.Hawaendi kama wadada wa kazi ambao walikuwa wanaenda kienyeji enyeji.

Mwisho who is Magufuli by the way? Ndio maana Serikali is doing in opposite way Kwa sababu hatuongizwi na utashi wa mtu binafsi.

Wewe kama ni poyoyo umeshikiwa akili nae do it.
 
Wewe sijui kichwa chako kikoje!

Dogo hakuwa vitani sawa. Alikuwa anatoka zake shambani kulelekea home na baiskeli yake na alitekwa na kundi la watu wenye silaha kama vile wanavyotekwa Wakenya nchini kwao na Al Shabab. Kenya ni vitani?

Kijana asiye na hatia ni victim wa ugaidi, na tumewasikia Magaidi wakisema "Alah Akbar" wakimchoma visu na kumpiga risasi.

Sio kwa sababu wewe ni muislam basi ulete visababu vya kujastifai mauaji.

Ule ni ugaidi.
Wewe ni mpumbavu,Rudi soma Uzi uelewa,kama hutaki kuelewa unalazimisha unachotaka kusikia ni hivi hata wewe ungefumwa huko vitani ingetekwa na ungetumiwa kama chambo even being brutally killed kama hao madogo.

Kwamba Hujawahi sikia au Kuna watu wasio na hatia wanatekwa na magaidi au na Vikundi vya wapiganaji au na Wanajeshi? Unadhani Huwa wanatekwa Kwa Ajili ya nini? Maonesho au?
 
1. Hao Wanaenda Kuajiriwa rasmi na Serikali ya Saudia.Hawaendi kama wadada wa kazi ambao walikuwa wanaenda kienyeji enyeji.

2. Mwisho who is Magufuli by the way? Ndio maana Serikali is doing in opposite way Kwa sababu hatuongizwi na utashi wa mtu binafsi.

Wewe kama ni poyoyo umeshikiwa akili nae do it.
1. Tupe hapa descriptions za hizo kazi.
2. Magufuli ni one of the two best presidents in Tanzania and one of the best in the world.
3. Kanisa katoliki wa mlengwa wa shirika hawana utaratibu wa kuchukua mapoyoyo ama vilaza kwenye seminari zake. Mimi ni former missionary of St Francis de Sales, Kihonda, Morogoro na Lububu, Tabora. 😂
 
1. Tupe hapa descriptions za hizo kazi.
2. Magufuli ni one of the two best presidents in Tanzania and one of the best in the world.
3. Kanisa katoliki wa mlengwa wa shirika hawana utaratibu wa kuchukua mapoyoyo ama vilaza kwenye seminari zake. Mimi ni former missionary of St Francis de Sales, Kihonda, Morogoro na Lububu, Tabora. 😂
🗑️🗑️🗑️ Mda wa kujibu ujinga Sina ,ingia kwenye tovuti zilizoainishwa utapata unachokitaka.

Ni best Kwa wajinga kama wewe.
 
Hii failed state hawanaga hekima hata kidogo, kazi ni kukwaruzana na nchi zingine.
Yaani hata siku mbili hazijapita wakwaruzane na DRC tayari wameanzisha lingine!
Heri mama huwa yeye anatumia neno majirani, atakaye jishtukia atajua yeye 😂😂😂

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1736826700506214725?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw

Kumbe ukubwa wa eneo la nchi ni kigezo kikubwa kwenye economic and political comparisons sasa mbona tukiwaambia Dar ni Nairobi 3 wanakaza fuvu?
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dar Es Salaam Port.
56 Ships bandarini.
15 vessels have arrived within the past 24 hours.
IMG_3497.jpeg


Jirani Port.
28 Ships bandarini
5 vessels have arrived within the past 24 hours.
IMG_3498.jpeg


Hasora tawara. 😂😂😂
Kwa haraka haraka utagundua ni nchi gani shughuli za kiuchumi zinaenda vizuri.
Dar Es Salaam Port kukiwa na foleni ndo jirani anapata ahueni ya kupata mizigo.
 
Hawana hata chembe ya hekima.
Ndio maana The best 007 anasemaga hata slum dweller ana ndoto za kuwa rais. 😂😂😂
Yan hao pumbavu unaweza kukuta mkikuyu anaishi kibera halafu mluhya anaishi nyeri lakini bado mkikuyu wa kibera akajiona yeye ni bora na anamzidi kila kitu mluhya,vichwa vyao vimejaa funza,uhuru alijitahidi sana kubalance ukabila ila ruto ngoma kairudisha kama kipindi cha moi huko
 
Back
Top Bottom