ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,519
- 85,347
2 New Airports in Ruaha NP 🙏🙏
View: https://www.instagram.com/p/C1ACJPEKNbD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
View: https://www.instagram.com/p/C1ACJPEKNbD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
dogo mtanganyika mwenzetu wamemuuaa kimyama mnoo...yaaani kama myama vilee ahh aisee sio poaa
View attachment 2845504
kwenye huu mgogoro, watanzania wengi wanasombwa na hisia za kidini. Unakuta mkristo anashika bendera ya Israel na muislam anashika ya palestina na kuanza kushikana mashati bila kujua nini hasa kiini cha mgogoro.
Hawa Hamas (tofauti na PLO ya Arafat ambayo Nyerere alikuwa akiitetea), baadhi wamekuwa radicalized kwa sponsorship ya zionist wenyewe ili kutengeneza justification fulani Gaza.
Ukiangalia vitendo hivi kama kilichomkuta huyu mtanzania mwenzetu, utaona vinafanana na vile vilivyotokea Syria, Libya na hata West Afrika. Hii pattern ndiyo wengi wanashindwa kuunga dots zake, ili kupata picha kamili.
Wakenya mko na wivu sana mmefika mbali hadi kusema tunaongeza sifuri kwenye project zetu
View attachment 2846539
View: https://twitter.com/BERNARDg32/status/1535680041023156224?s=19
Wewe sijui kichwa chako kikoje!Mateka hutumiwa kama silaha au chambo ya kushinikiza jambo lao bila kujalisha ni WA upande gani.
Inauma ila ndio hivyo Dunia sio salama so inatukumbusha kwamba tusiwe tunashabikia vita anywhere maana madhara yake yanaweza kukuta hata wewe usiyetarajia.
Yule wa Ukraine na Hawa madogo 2 wote yamewakuta Wakiwa masomoni.
Sio tu eneo la Waislam hata eneo lisilo la Waislam, jamaa ni shida. Kwenye maeneo yao hawataki kuona Kanisa na wanavunja na hata maeneo ya Wakristo pia wameanza kuleta shida.Kuhusu Wakristo na Waislam kuishi pamoja si kweli.
Nisiliweke hili swala kidini, Ila hakuna Mtu asiye Muislam anayeweza kuishi kwa Amani eneo la Waislam wenye itikadi kali na waofata sharia
Hii failed state hawanaga hekima hata kidogo, kazi ni kukwaruzana na nchi zingine.
Yaani hata siku mbili hazijapita wakwaruzane na DRC tayari wameanzisha lingine!
Heri mama huwa yeye anatumia neno majirani, atakaye jishtukia atajua yeye 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1736826700506214725?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Hawana hata chembe ya hekima.Hao kunyan wamekuzwa kwenye ubaguzi wa kikabila,pale nchini kwao wanaishi hivyo kusemana vibaya,wivu,uchawi na wakitoka nje ya nchi yao ni hivyo hivyo ni chuki tu na kujiona bora zaidi ya nchi nyingine,wameumbwa hivyo ndio maana late nyerere aliwaita nyang'au
Wakenya mko na wivu sana mmefika mbali hadi kusema tunaongeza sifuri kwenye project zetu
View attachment 2846539
View: https://twitter.com/BERNARDg32/status/1535680041023156224?s=19