Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila hiyo ya Mtwara inahitaji branch kwenda Mbamba Bay Lake Nyasa ni kaibu zaidi na Lilongwe!
Lakini tunaowalenga zaidi ni DRC,hiyo ya Mbamba Bay itakuwepo tuu kama reli independent.

Hoja yangu ni kuipa Nguvu na Ufanisi TAZARA na ku maximize mizigo ya South Eastern DRC-Lubumbashi,Likasi nk.

Bila kufanya hivyo haitokuja kutokea TAZARA ikawa na Ufanisi Wala hiyo ya kwenda Karema haitasiaida sana.

SGR za Sasa ni Kwa Ajili ya Eastern and North Eastern DRC.

Serikali ziangalie viability za hizo routes zinaweza make sense hasa na kuifanya Bandari ya Mtwara kuwa kubwa kabisa.

Wenzetu wamenaza huko Botswana
 
Kuna mda mama ananifurahisha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanamjua😂
Screenshot_20231219-114051.jpg
 
Lakini tunaowalenga zaidi ni DRC,hiyo ya Mbamba Bay itakuwepo tuu kama reli independent.

Hoja yangu ni kuipa Nguvu na Ufanisi TAZARA na ku maximize mizigo ya South Eastern DRC-Lubumbashi,Likasi nk.
Nani kakuambia? FYI Mtwara Development Corridor hailengi DRC! Inalenga Malawi, coal mines Lake Nyasa basin, eastern Zambia na Mozambique! Tuambie hao DRC hawajaunganishwa na TAZARA tayari? FYI itaenda Mbamba Bay na Mchuhuma coal mines kwanza kabla ya kuunganishwa na TAZARA kama ulivyochora!

800px-Tanzania_mtwara_development_corridior_preliminary.png

Mtwara-1.jpg
 
Nani kakuambia Mtwara Development Corridor hailengi DRC! Inalenga Malawi, coal mines, eastern Zambia na Mozambique! Tuambie hao DRC hawajaunganishwa na TAZARA tayari? FYI itaenda Mbamba Bay na Mchuhuma coal mines kwanza kabla ya kuunganishwa na TAZARA kama ulivyochora!

800px-Tanzania_mtwara_development_corridior_preliminary.png

Mtwara-1.jpg
Uko sahihi kabisa na Wala Mimi sijapinga ujenzi wa reli ya Mtwara-Mbamba Bay Kwa sababu ni maalumu Kwa Ajili ya Kaskazini mwa Malawi,Migodi ya Makaa na Chuma ya Liganga na Kwa kiasi na sehemu ya Kaskazini Mashariki ya Zambia.Tena ikiwezekana ijengwe na section ya reli kutoka somewhere Mpika Zambia hadi hapo Nkhata Bay.

Ila pamoja na Hilo unatakiwa kuelewa kwamba Ziwa ni bottloneck kubwa sana ambayo italazimu uwe na meli zile za kubeba mabehewa and all that so kama Kuna route haihusishi hizo inconveniences basi transporters watatumia zaidi hiyo.

Pili sina hakika sana kama transporters hasa wa DRC-Lubumbashi wanaweza kuitumia Bandari ya Mtwara Kwa njia ya reli ya Mbamba Bay badala ya Dar Port.

Tatu Bado naimani endapo route nazopendekeza zikijengwa zitaimalisha TAZARA maana zitatokea directly kwenye Mining Towns huko DRC to Makambako ambapo pale Sasa ndio kuwe na Junction ya kwenda Mtwara Port.
Screenshot_20231219-124729.jpg

Napendelea route hii iwe studied Kwa ku engage Wachina Kwa sababu Haina bottleneck ya Ziwa na inatokea directly DRC na inapita Moja kwa Moja Kaskazini ya Zambia.
Screenshot_20231216-135149.jpg

Mwisho hizo reli tujenge zote hata kama sio Sasa ila hata baada ya 2030 tuziweke kwenye Mpango wa kuzifanyia study.
 
View attachment 2846989

Napendelea route hii iwe studied Kwa ku engage Wachina Kwa sababu Haina bottleneck ya Ziwa na inatokea directly DRC na inapita Moja kwa Moja Kaskazini ya Zambia.
View attachment 2846991

Mwisho hizo reli tujenge zote hata kama sio Sasa ila hata baada ya 2030 tuziweke kwenye Mpango wa kuzifanyia study.
Usilazimishie muungano na ya Tazara kabla ya dhumuni lake kuu kwa vile unatoka Mbeya MDC hahusiani na Mbeya! Si suala la ubishi kwenye hili, nn kinazuia Tazara kuhudumia hizo mines za DRC? Hiyo bottleneck ya Lake Nyasa unaitoa wapi wakati kuna ujenzi wa port kubwa? Umefanya feasibility study au unaropoka tu?

View: https://twitter.com/AK_Mwaba/status/1731189569096229216

View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1731695190614667420

View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1731695233178407178
 
Usilazimishie muungano na ya Tazara kwa vile unatoka Mbeya MDC hahusiani na Mbeya! Si suala la ubishi kwenye hili, nn kinazuia Tazara kuhudumia hizo mines za DRC? Hiyo bottleneck ya Lake Nyasa unaitoa wapi wakati kuna ujenzi wa port kubwa?

Acha ujinga we Mzee, Makambako -Mtwara ni Mbeya?

Hizo za DRC zinazo connect Zambia ni Mbeya?

Reli has nothing to do with Maendeleo ya Mbeya na Wala reli Huwa hazichochei uchumi wa individuals Bali uchumi wa Nchi Kwa ujimla.

Arusha Jiji hakuna hata reli inayofanywa kazi lakini imeendelea kuzidi Mbeya yenye reli ya TAZARA inayofanya kazi hivyo hivyo na Iringa nk nk.

Mimi naangalia kitu kinacholeta maana kwenye Nchi Kwa upana wake maana Nchi ikistawi tunafaidika wote.

Mwisho Mbeya sio Malawi ni Tanzania hata nyie Wahaya mko Mbeya wengi sana.
 
haitajengwa sasa! MDC project 👇
800px-Tanzania_mtwara_development_corridior_preliminary.png
 
Those Kenyans could be very right. There is a possibility that the cost of this project has been inflated by this corrupt government led by colonial clerk.
Hii project ina involve alot of things such as:
1. Well development and well works
2. Marine pipelines network to shore
3. LNG terminal for gas processing to LNG
4. LNG shipping port
5. LNG storage tanks
ETC
 
Back
Top Bottom