Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dar Es Salaam Port.
56 Ships bandarini.
15 vessels have arrived within the past 24 hours.
View attachment 2846749

Jirani Port.
28 Ships bandarini
5 vessels have arrived within the past 24 hours.
View attachment 2846751

Hasora tawara. 😂😂😂
Kwa haraka haraka utagundua ni nchi gani shughuli za kiuchumi zinaenda vizuri.
Dar Es Salaam Port kukiwa na foleni ndo jirani anapata ahueni ya kupata mizigo.
Tuboreshe miundo mbinu ya mtwara port na tanga port ili meli zingine ziwe zinaelekea huko
 
Ndo maana Githeri media wanakuja na huu ushuzi!

MY TAKE
Hapo eectrial SGR haijafika Mwanza na Kigoma! Yajayo yanafurahisha...
Now tuwafuate twitter kwenye kila hii post tu-comment na hizi info!
 
Tuboreshe miundo mbinu ya mtwara port na tanga port ili meli zingine ziwe zinaelekea huko
Jana tu nilikua Tanga Port. Ile B200 was a waste of money, huhitaji kiwa engineer kujua hilo, bora wangetumia hiyo hela kujenga hata gati moja pale mwambani port na kiweka gentry crane hata moja. Bandari ya Tanga ilifaa in 1800 kwa kujificha kwake. Ila sio kwa karne ya 21.
 
😂😂😂😂😂 Mkuu hizo hasira umekosa kigezo au?
sio kigezo lakini hili halitaki uwe na akili kubwa ndio ulielewe.......itakuwaje wahitaji madaktari wa kike pekee na sio wa kiume???

hapa kuna walakini,hawahitaji mabinti zao tuishi nao........waarab wanapaswa wapelekewe moto na Wayahudi mpaka maji waite mma ***** zao
 
Ndo maana Githeri media wanakuja na huu ushuzi!

MY TAKE
Hapo eectrial SGR haijafika Mwanza na Kigoma! Yajayo yanafurahisha...
Now tuwafuate twitter kwenye kila hii post tu-comment na hizi info!

View: https://x.com/rodgerskipembe/status/1736789208549720208?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
 
Wewe sijui kichwa chako kikoje!

Dogo hakuwa vitani sawa. Alikuwa anatoka zake shambani kulelekea home na baiskeli yake na alitekwa na kundi la watu wenye silaha kama vile wanavyotekwa Wakenya nchini kwao na Al Shabab. Kenya ni vitani?

Kijana asiye na hatia ni victim wa ugaidi, na tumewasikia Magaidi wakisema "Alah Akbar" wakimchoma visu na kumpiga risasi.

Sio kwa sababu wewe ni muislam basi ulete visababu vya kujastifai mauaji.

Ule ni ugaidi.
Kwa upande wao wanaona kama wageni wanashirikiana na waisrael kupora hayo yenye mashamba. Naona hilo ni kama onyo, wanataka ku create fear kwa foreigners.
 
sio kigezo lakini hili halitaki uwe na akili kubwa ndio ulielewe.......itakuwaje wahitaji madaktari wa kike pekee na sio wa kiume???

hapa kuna walakini,hawahitaji mabinti zao tuishi nao........waarab wanapaswa wapelekewe moto na Wayahudi mpaka maji waite mma ***** zao
Hizo Sasa ni chuki zako binafsi.Hao wanaenda Kuajiriwa rasmi na Serikali ya Saudia hayo mateso yanatoka wapi?

Pili Mimi ningekuwa na vigezo na Niko iddle ningeenda maana nitapata madolali ya kutosha kuliko kuwa jobless Bongo au kwenda kufanya kazi ya mashamba Israel ambako usalama ni zero.
 
Safi sana Wallace Karia Kwa Umafia huu Kwa Wakunya 😁😁
Screenshot_20231218-224057.jpg
Screenshot_20231218-224150.jpg
 
Back
Top Bottom