KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Takupiga na singida 😁😁😁😁🤣🤣
Takupiga na singida 😁😁😁😁🤣🤣
Mtumbwiz akuna uajabu apo🤣🤣🤣🤣😁😁😁K-City. Two of the top three biggest ships in lake Victoria.
View attachment 2844403
Vinajikutaga wazalendo ndio maana wako radhi wadanganye chochote kuipa sifa failed state yao. 😂😂😂Wazee wamabendera kila mahali😅
Ila hawa jamaa ni wazalendo ase.. wako radhi wafe na tai zao shingoni😅Vinajikutaga wazalendo ndio maana wako radhi wadanganye chochote kuipa sifa failed state yao. 😂😂😂
inategemea inatokea wapi kama youtube unaweka link! ingia youtube halafu copy link! Kama ni clip yako toka simu yako inabidi utume kama attachment!Hako ka-meli chao labda ishindae na hii meli yetu MV AMAN..
View attachment 2844862
View attachment 2844848
Afu hiv unattach vip video humu. Nataka nitume interial views ya MV AMAN
Sioni cha maana hapa.🚮🚮🚮Ila hawa Kenyans ni jokers sana, vile viwanja vyao walivyojenga mwaka huu mmeviona.? 🤣🤣🤣 Heb ona Tz tunavyozingatia standards 👇View attachment 2843925View attachment 2843926View attachment 2843928View attachment 2843929View attachment 2843931. Nyie mbwa msijifanye hamjaona njoeni huku Teargas. mwaiofhawaii. Nicxie. NairobiWalker. Kimbg. Coco Master. 🤣🤣🤣 Msikimbie buana
Nikiangalia Google maps naona vumbi 70% hapo Masaki.🤣🤣🤣🤣 Kwanza tu nikujuze hizo barabara umepost zote ni full lami. hakuna barabara za tope neither in Masaki nor Oster bay.. masaki si green kama Oster bay.
Wewe kima huo uwanja ni bora kuliko ile takataka yenu kisirani stadia.🤣🤣🤣Sioni cha maana hapa.🚮🚮🚮
Nikiangalia Google maps naona vumbi 70% hapo Masaki.
View: https://youtu.be/vqBcmKJRb2Q?si=1iQauDN0rsAvtAAy
Hamna uwanja Ukunyani unafikia hivyo viwango all around roof na electronic advertisement boards! I challenge u to bring only one toka hapo Ukunyani!Sioni cha maana hapa.🚮🚮🚮
Nikiangalia Google maps naona vumbi 70% hapo Masaki.
View: https://youtu.be/vqBcmKJRb2Q?si=1iQauDN0rsAvtAAy
Hii challenge inahusisha hata ile national stadia yao yakuitwa kasarani. NairobiWalker 🤣🤣🤣Hamna uwanja Ukunyani unafikia hivyo viwango all around roof na electronic advertisement boards! I challenge u to bring only one toka hapo Ukunyani!
BRT ikikamilika hapo waache na nafasi ya line za electric trains za commuter.