Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waaahh.!! My home town ❤️❤️ zamani tukiwa wadogo tulikua tukijaga hapa weekends kula Swahili pizza. 👏 Dah nimepamiss sana. Mpaka nimemkumbuka dadaangu (sijaonananae ni miaka 10 sasa tangu alivyoondoka kwenda kuishi London 😭) hili eneo halikua hivi those days.. kudos to whoever done this great job.
Tanga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
FB_IMG_1702765919187.jpg
 
Hako ka-meli chao labda ishindae na hii meli yetu MV AMAN..
View attachment 2844847

View attachment 2844848

Afu hiv unattach vip video humu. Nataka nitume interial views ya MV AMAN
wewe vp? wacha kuropoka Mv Amani ina amenities zote ndani inabeba abiria na mizigo na floors nyingi! Hii Mv Uhuru II ni kwa ajili ya mizigo tu fananisha na Pantoon za Mwanza! Pia Mv Umoja!

Mbona mnaipa sifa scrapper with engine?

🙏🙏🙏
 
Huyu waziri kweli au chale uyu? Barabara 2km unaenda public kweli? Matumizi mabaya ya ofisi haya, kwa hapa tulipofika vitu vidogovidogo kama hivi sio story huku kwetu, hatoshi chale uyu.
Au ana ki kampuni cha event management nini? Maana sio kwa shughuli hizi......kuna kitu hakiko sawa. Daraja la mota 70 na barabara ya 2km unaweka hafla??? Anazingua!!
 
Back
Top Bottom