Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,122
BRT ikikamilika hii barabara itakua nzuri mno.
Nyie wenu uko wapi usio na running track, sisi upo pale chamazi complex nioneshe wenu. Kwanza hamna kiwanja hata kimoja chenye LED lights sisi tunavyo vi4 na bado upo hapa unapanua domo lako.Running track ya kazi gani kwa nchi that doesn't run? Tena Zanzibar of all the places
Typical African
Kenya nzima haina uwanja wenye roof ya namna hii na ina-cover sitting area yote kama hivi! Wanajua ndo maana wako kimya! nawa-challenge walete zile international stadiums zao! Kule Ukunyani ni "mambati rollings"!Hapo hatujaongelea mabango ya matangazo ya kieletroniki!Ila hawa Kenyans ni jokers sana, vile viwanja vyao walivyojenga mwaka huu mmeviona.? 🤣🤣🤣 Heb ona Tz tunavyozingatia standards 👇View attachment 2843925View attachment 2843926View attachment 2843928View attachment 2843929View attachment 2843931
Mimi silazimishi chochote.Unalazimisha hiyo barabara kuwa ni ya vumbi.? 🤣🤣🤣
Hakuna barabara enye iko na vumbi hapo, masaki si green sana na barabara zake some of them zimepeuka juu ni za zamani, that's why kwa picha za google zinaonekana kama ni vumbi but yo hakuna barabara za vumbi in Masaki.Mimi silazimishi chochote.
Labda Google Earth ndio wanalazimisha iwe ya vumbiView attachment 2843949View attachment 2843950
Their public hospitals are in deplorable state due to years of under investmentKwanini hawa kondoo kwenye hospitali huwa ni Tanzania Government hospital vs Kenya private hospital (Agakhan)?
Bima ya afya inakubalika hadi kwenye hospitali za kibinafsi hapa KenyaYes but serikali huwa ina subsidise baadhi ya huduma unlike private sector.
Alisikika bongolala akijitetea 🤣🤣Hakuna barabara enye iko na vumbi hapo, masaki si green sana na barabara zake some of them zimepeuka juu ni za zamani, that's why kwa picha za google zinaonekana kama ni vumbi but yo hakuna barabara za vumbi in Masaki.
kwani huoni paved road?Alisikika bongolala akijitetea 🤣🤣View attachment 2843956