Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hiyo ilikuwa ni tatizo la engine kwenye A220 karibia zote kwenye nchi mbalimbali na watengenezaji walishahuri zipakiwe kwanza kwa ajili ya marekebisho.
Maana naona anatafuta pa kutokea. 😂😂😂
Kwa siku 3 mfululizo KQ wamekuwa wakitoa taarifa tofauti tofauti ilianza na staff shortage, kesho yake wakasema spares shortage keshokutwa wakasena tumesha resolve tatizo la spare, siku iliyofuata emergency landing.
Kuna kitu hawa nyangau hawasemi ukweli.
 
Kwahyo wew kweny kichwa chako height na weight ya Mv uhuru inazid Mv mwanza?

92m
Screenshot_20231217-103228_2.jpg


Vs
100m
Screenshot_20231217-103410_1.jpg
 
Back
Top Bottom