Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga Kunya tangu lini wana manufacture Land Cruisers?!!!!!!🤣🤣🤣

Cry harder🤣🤣🤣😂🤣🤣
WhatsApp-Image-2021-10-12-at-20.17.14-10-768x512.jpeg
images - 2023-12-10T103928.118.jpeg
WhatsApp-Image-2021-10-12-at-20.17.14-11-768x512.jpeg
images - 2023-12-10T103906.181.jpeg
 
Kwani huko kwenu

Kwani nani ana own AVA Kenya au Simba corporation?

Warning usilete double standards hapa we kima.
Fala huyo,mwanzo akujua hiyo kampuni ni ya Mtanzania akawa anasifia baada ya kujua wao ni dealer tu manufacture TZ kabadili gear angani sasa hivi ni kampuni ya asia ila hapo kabla ilikua kampuni ya kunyastan
 
Hiv unajielewaga kweli? Au English ndo inakuchanganya?
Ulichoongea siyo walichomaanisha
Alikuwa anamaanisha kwamba wakunya wanatengeneza vitu ili waonekane wako juu ya Tz, ni kweli hicho ki map wamekitengeneza wao wenyewe ili kujifariji, lkn kama hakumaanisha hivyo basi litakuwa ni tatizo lingine.
 
If wishes were horses, unatamani sn Tz iwe failed state kama nchi zenu za kishenzi za EA lkn wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania is failed state that's why most of the trucks you are using are built in Kenya😂😂😂
 
Mbona Bus za Tanzania huwa na hizi chuma mbele!? Ama hupita porini!?
-1316431451.jpg
 
Back
Top Bottom