Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiswahili to the world. Wao wacha wabaki na lugha ya kuazima tuu [emoji16]

I have seen a German speaking Kikuyu, I have also seen a German speaking Luo. That doesn't mean that Germans have embraced those languages. So just because a German spoke Kiswahili doesn't mean anything in the overall population of entire Germany.
 
Mtanzania mwenye asili ya Kiasia! Wapi Mkunya mwenye asili ya Kiasia akiwa na kampuni kama RSA Group?
Alafu kwa hizo gari kitu inafanyika kwao hata mtoto wa class 3 anaezafanya. RSA inanunua magari fully built from AVA Mombasa then they do elongation and modification at their Mombasa Road branch.

images - 2023-12-10T103915.700.jpeg
images - 2023-12-10T103906.181.jpeg
images - 2023-12-10T103947.715.jpeg
 
I have seen a German speaking Kikuyu, I have also seen a German speaking Luo. That doesn't mean that Germans have embraced those languages. So just because a German spoke Kiswahili doesn't mean anything in the overall population of entire Germany.
Hapo tunaongelea kuhusu swahili sasa wewe luo na kikuyu unatoa wapi? Kama unayo video weka hapa tuone.
 
Thanks for admitting the owner is Asian👏👏👏👏
Kwani huko kwenu
RSA ni kampuni ya mhindi with an ugly branch in moshi and a sparkling and beautiful one in Mombasa road.
Kwani nani ana own AVA Kenya au Simba corporation?

Warning usilete double standards hapa we kima.
 
Back
Top Bottom