Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
leta leta hapa tone manake masai mara isigejaa vipisi mana hamjawahi sikia tuanajitapa sehemu
leta leta hapa tone manake masai mara isigejaa vipisi mana hamjawahi sikia tuanajitapa sehemu
Unaringia kampuni ya Tanzania 🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni kampuni ya mhindi😂😂😂. The pictures I have posted ni za Kenya. That beautiful building can't be found in Tz.Unaringia kampuni ya Tanzania 🤣🤣🤣🤣
Hii tutaipost tena na tena hadi wachoke.
View: https://x.com/stats_feed/status/1733365943072620667?s=20
Bibi yako uko kisii mchawi wa kutupwa
Uwe unawadanganya wakunya wenzako we kilaza!
You are still living in old age. Production started in Kenya long ago. This is their FB page na hao wenyewe ndio wameandika hiyo banner ati produced in Kenya.
Kwa hiyo hao kuweka kwenye official webpage Yao kuwa nyie ni dealer tu wanakichaa?You are still living in old age. Production started in Kenya long ago. This is their FB page na hao wenyewe ndio wameandika hiyo banner ati produced in Kenya.
View attachment 2838003
Na hao ni kichaa kusema hizo land cruisers are elongated in Kenya?Kwa hiyo hao kuweka kwenye official webpage Yao kuwa nyie ni dealer tu wanakichaa?
Hapa tunaongelea hq issue ya hizo cruisers kuwa broaden/extended it doesn’t matter it can be done in Arusha na mletewe kwa show room just like any other dealer!Na hao ni kichaa kusema hizo land cruisers are elongated in Kenya?
View attachment 2838012
Hazijafanywa Arusha that's why imeandikwa proudly produced in Kenya. Ama siku hizi Arusha Iko Kenya? 😂😂😂Hapa tunaongelea hq issue ya hizo cruisers kuwa broaden/extended it doesn’t matter it can be done in Arusha na mletewe kwa show room just like any other dealer!
Hizo land cruiser ziko assembled and fabricated in Kenya. Bongolalas are always in denial. 😂 😂 😂They are forcing Kenyan land cruisers to be elongated in Tz😂😂😂🤣🤣
View attachment 2838028
Elongation pia inafanyika Kenya.Hizo land cruiser ziko assembled and fabricated in Kenya. Bongolalas are always in denial. 😂 😂 😂
EasyCoach
View attachment 2838042stand stand stand uchafu uchafu gari zinapaki mtaani.