Daah umenikumbusha issue ya covid nlikuwa natimba kariakoo job jioni nakula chai nzito ya tangawizi na limao maisha yalienda poa walitusema tutaokokwa kama mzoga ila mungu mkubwa tulivuka Mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi yule mwamba aisee alivaa ubaba wa familia na tukavuka pamoja asante kwake sana.
Harafu huyo first lady Si ofisi yake imejaa utitiri wa wafanyakazi utafifikiri wizara ya tamisemi kwa bongo Sasa hiyo pesa anayowafisadi wakenya nj Kubwa mara elfu kuliko hicho kijimsaada Cha wachinaVitu vya mchina ni fake huku jf tu, ila ndio mkombozi wao Hadi ikulu kummmke Tena mbele mlango wa kuingia ndani🤣🤣 aisee hii ni humiliation
View attachment 2832203
Kama movie mkuu 😂😂😂😂😂Aisee are these people living in Mars or what?!!!!!!
View: https://twitter.com/Haaland_sholla/status/1722864190883348869
Fokker ya Moi! Damn hii kitu ina miaka isiyopungua 40!
Dashboard ya train ya kwenye escape from sobibo 😃 kunyan ndio anatamba nayo 2023 😂Bado mpo kwenye enzi ya analogy dashboard kweli mchina kawafanyia ukatili mkubwa sana
Media za kikunya bila habari za TZ aziendi
Friend unacho kionesha hapo juu ni max speed ya 176km/h na 65km/h sio 180kph na 200kph, hata bodaboda za kichina zina speedometer yenye max to 200kph ila hakuna mkimbiza nduthi alizidi 120kph.
Kawe ndio future ya modern Dar es salaam, kwasababu ni eneo kubwa pekee lililopo katikati ya mji ambalo lipo empty . Hapo serikali na sekta binafsi Ina uwezo wa kulifanya eneo hili likawa balaa mno
I had not known how to make a video of the whole place. But now that I know, I will be going back to make a detailed video of the place.wow....this is quite something
walienda kunusa ugoro!