ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hata mm nimejaribu kuangalia ila nimekuta hvimsee,
hii jiwe katika picha lipo kisumu au lipo mwanza?...tuanzie hapo kwanza then tuendelee na debate.
![]()
BTW tuwekee hapa hilo jiwe la kisumu.
NB:
baada ya jana ku-share screenshot hapa,leo nimejaribu ku-search kenya via google earth app,nimekuta wameifuta picha ya jiwe la mwanza.![]()
nadhani wameingiwa na aibu baada kuona tumewashtukia.![]()
![]()
![]()