Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilitaka jua sehemu specific maana nimevutiwa na huo mradi, bila shaka ni kanda ya ziwa maana ndipo mawe yapo mengi.
Hapana Mkuu ni Nyanda za Juu Kusini.Sehemu kubwa ya Tanzania Ina mawe.

Kazi inaendelea hapa kitatoka kitu matata sana Cha Mawe
IMG_20231116_103435_236.jpg
IMG_20231116_103339_993.jpg
 
Back
Top Bottom