Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Arusha
Uko sure Arusha ina CBD!?Arusha ni unyama wakuu. 👇 outside CBDView attachment 2813624View attachment 2813625View attachment 2813609View attachment 2813610View attachment 2813611View attachment 2813612View attachment 2813618View attachment 2813622View attachment 2813623View attachment 2813613View attachment 2813614.. Reborn Ktb vipi mombasa inatoboa.? 🤣🤣. Chuga beib. Kimbg. We kima njoo upate maumivu huku. 🤣🤣
Arusha Iko na nini according to you.?
Uko sure Arusha ina CBD!?
Football ni mchezo wa wenye chakula na walioshiba.Mbona nyang'au siwaoni?😁
Every part of Nairobi is changing
I promised to bring to you Part of Kasarani that used to be a slum. Now better than Masaki
View: https://youtu.be/wRM4ANsrdN4?si=MoJVQQwJxnUvPwT4
Regional Diplomatic Powerhouse
Karibu sana 🙏🙏
View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1724394629200572543?t=DRsiKJnPx9knss9Jcam8ig&s=19View attachment 2813599
Wachina wanataka kujenga upya Tazara pamoja na kujenga industrial parks along the way kuipa Tazara mizigo ya kutosha. Lakini bdo hawajatoa official plan, kama watajenga SGR obvious watarinovet na CGR pia ili miaka ijayo, inchi zingine zikiingia kwenye mfumo wa SGR watukute tuko tayari kwa both options.Naukumbuka ule mjadala na baadhi walipinga ila ulikuwa sahihi kabisa.
Bwawa la Bil.7 Kwa Ajili ya Irrigation.
Uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo,kazi inaendelea 👇
View: https://youtu.be/S943r56KL8E?si=Ptd92RqstsluoO4p
watainovet? sijakuelewa?Wachina wanataka kujenga upya Tazara pamoja na kujenga industrial parks along the way kuipa Tazara mizigo ya kutosha. Lakini bdo hawajatoa official plan, kama watajenga SGR obvious watarinovet na CGR pia ili miaka ijayo, inchi zingine zikiingia kwenye mfumo wa SGR watukute tuko tayari kwa both options.
Lets wait and see.
Wivu tuu unakusumbua.Wakati mko na yule Shujaa wenu mlitengeneza irrigation ipi Kwa moto na maji ya maziwa na Bahari?Tuna mito, bahari, maziwa kila kona, utengenezaji wa mabwawa kwa gharama kubwa ni matumizi mabovu tu ya pesa.
I stand to be corrected.
Wata renovate Tazara ya zamani kama watajenga SGR mpya.watainovet? sijakuelewa?
📌📌📌🔨🔨Diplomatic what???
Marais wa nchi ngapi za maana wametembelea iyo Kijiji 2023?
Kwanza huyu mromania Yuko nairobi sahii.