Kwani ww hupendi ukweli uzungumzwe au ww unafkiri watanzania wote wanaakili kama zako,Kwa hiyo umeungana na Wakunya kuichafua Nchi kisa chuki Kwa Samia au? 🤣🤣🤣🤣
Ila we Jamaa unatia huruma sana saizi
Vp bado mabwawa ya kuzalisha umeme hayajajaa bado 😅😅😅😅😅Nyingine hizi hapa
Ngoja nitoe comment 'sawasawa' na akili yako ilivyo.
Mama hafai kuwa Rais sababu anasababisha mafuriko jangwan na msimbazi. Tukutane 2025 😄
View: https://twitter.com/millardayo/status/1723660419288465511?t=S9g9afQTRiIGi6Jpl1_klA&s=19
View: https://twitter.com/millardayo/status/1723618836115509515?t=FnOL9lTWAH6fofAKV3GsTQ&s=19
Hamna mtu mwenye akili anaweza kuibadili Cape Gauge iwe SGR wakati nchi 16 za SADC zina Cape Gauge huko ni kujifunga kibiashara! Mmarekani mwenyewe juzi katangaza Cape Gauge Railway! Cape Gauge ni kwa faida yetu sisi!Je pesa $1 Bilion (2.5T) zinaweza ku upgrade Tazara kuwa Sgr au itakuwa ni maboresho ya kawaida?
Why China is on track to control African mineral transport route via Tazara line
China set to upgrade vital African railway as the US and EU race for control of mineral trade routes.www.scmp.com
Hawa slum dwellers wa hali ngumu sana
Unadhani ukipost hizi picha za zamani na picha mbovu,utabadilisha kinachoonekana ground kwasasa.??🤣🤣🤣Magomeni iwe ndogo iwe kubwa the fact remains it's an ugly uswazi hovelView attachment 2811533View attachment 2811534
Hawa machizi yani wanatuona humu ndani wote ni akili za kushikiwa just imagine binaadamu anapanda kwenye haya malori ya kubeba mkaa utasema wanaakili timamu hawa kondoo 😅😅😅😅😅
Tofaut ya punda na hawa ni nini??
View attachment 2810852View attachment 2810853
Kwani ww hupendi ukweli uzungumzwe au ww unafkiri watanzania wote wanaakili kama zako,
Tuliambiwa mgao wa umeme chanzo ni mabwawa kupungua maji sasa hvi mvua inachapa kisawasawa dailypaka maji yanakosa njia ya kwenda sasa huo mgao wa umeme unatokana na nn??
Akili inakaa kumkichwa 😅😅😅😅😅
Itakuwa mahitaji yameongezeka😄Nimezipitia ,kaweka data za miaka inayomfurahisha yeye,nimemwambia aweke data zote za kuanzia 2016 hadi 2021,kwa sababu hoja ya serikali ni kwamba mahitaji ya umeme mwaka 2021 yaliongezeka kwa Kasi zaidi kuliko miaka mingine yote iliyopita kutokana na kukua kwa haraka kwa uchumi..
Pili hoja ya serikali ni kwamba Tanesco walikuwa hawafanyi maintenance kwa miaka 5 iliyopita hivyo systems za umeme zimechoka so with sharp demand imesababisha grid kuzidiwa and so umeme kukatika katika..
Na mwisho nimemuuliza kwamba kama hakubaliani na majibu ya Serikyna boss wake Chade ,atuwekee yeye sasa kwa nini umeme unakatika katika? Je wanahujumu Nchi Kisa hawamtaki Samia na Makamba?
Hapa umechomeka penyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Lile Litren lenu, Expressway mnayoisifia kila siku tuziiteje, maana hupendi vya wachina.
Like Mitungi ya Chang'aa mnayoita Sgr 😁😁Cheap Chinese boxes.
Bought from Kenya, thanks.Like Kitungi ya Chang'aa mnayoita Sgr 😁😁
Bado hujasema Hadi useme
View: https://twitter.com/BusesNation/status/1723674447494721585?t=lpNk4Y0kbYp3UHg2jprcSQ&s=19
Unasema tuna assemble vibasi vya kijinga wakati picha uliyoweka ni assembly plant ya Scania iliyopo Nairobi. Si unaona wivu ilivyo mbaya?Wana assemble vibasi vya kijinga na substandards ndio maana havina soko Nje ya maskini Kunyalands.
Matajiri wa Tanzania wananunua Mabasi sio scrappers View attachment 2810578View attachment 2810581View attachment 2810582View attachment 2810583View attachment 2810584View attachment 2810585View attachment 2810586View attachment 2810587
Wewe Lia bwana. Hakuna atakayekuchapa ukilia😂😂We fala, Chochote cha Marcopolo ni cha Kenya eeh?