Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Musiwaambie kaeni kimya ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
20231106_225622.jpg
 
Cameroon, Senegal, Mali, Nigeria, Togo etc. are all footballing countries ranked higher than TZ.
Yet they're even bigger shitholes. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Kazi yenu imekuwa kila siku kupost video za mpira wenu, kwani hamna mengine yanayofanyika nchi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
It's them who are actually admiring and posting our league matches. This isn't done by ordinary folks, but their highly respected media personalities.
 
We nawe kila tukio Kenya unaleta humu. Sasa bi nini ajabu hapo. Ama Tanganyika ajali kama hizo hazifanyiki?

Alafu angalia watu wa Marakwet ndio hao wako karibu kuvuna mahindi. Lakini kila siku hapa tunaambiwa Tanzania unalisha Kenya. Ama hizo mashamba zinamilikiwa ma watanzania?
Nilikuwa nakunywa kawine changu, nimepaliwa kwa hili povu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
The best 007 anakuambia kaumiaaa ๐Ÿ‘†๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom