Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro, wakenya wengi wanashabikia Simba na Yanga, tena ni mashabiki wanazi kabisa, wanapita pale kazini wakiwa na jezi na bidhaa kadha wa kadha za hizi timu na wanashangilia kabisa, jana kuna mkenya bahati nzuri ni Yanga mwenzangu alikuwa anarudi kwao akaniambia leo Simba hatumuachi hata afanyeje. Ofcz hizi timu zina mashabiki wengi sn, jana nmeangalia mpira mule mule kazini wazungu kwa waafrika wameketi wanasubiri flight zao lkn wakawa wanashangilia sn, hizi timu zetu zina mvuto wa asili, tukiendelea kuzi brand zitafika mbali sana.
Nakubaliana na wewe kabisa, unajua hata Bwana Mwai Dickson Sadima ni Yanga lia lia, hawezi kusema humu ila ukweli ndio huo, na venye tumeishajua address yake tutamtumia jersey zetu mpya😅😅😅
 
Nakubaliana na wewe kabisa, unajua hata Bwana Mwai Dickson Sadima ni Yanga lia lia, hawezi kusema humu ila ukweli ndio huo, na venye tumeishajua address yake tutamtumia jersey zetu mpya😅😅😅
Cc Mwai Sadima Dickson mwaiofhawaii kumbe wewe ni mwananchi na husemi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Another Foreign leader jets in… I lost count already….
IMG_1612.jpeg
 
Middle class Ngong road, Nairobi.
What bongolala thinks Masaki is. 😂😂😂

I've looked far and wide and I've never seen any road in Dar, that is a few km from the CBD, that is not dotted and full of shanties and 1970s architecture.
In Nairobi all you see are highrises and modern buildings.

Even a kindergartener visiting both cities can 'feel' where the money is.


View: https://www.youtube.com/watch?v=q2Wrc1oY4d4
 
Back
Top Bottom