Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol....sycophancy at best...a country with a per capita of 900 dollars like tanganyika is a very poor country......i know for cosmetic purposes and shitstorming over here you have to act all good while 90% of tanzanians still cant afford a permanent house
Maumivu peleka kibera hayatuhusu sisi 😁
 
EACOPP tumechukua, na hata oil business tuchukue kweli hawa ndugu zetu watabaki na nini jamani?

Ukizingatia soon tunachukua dry cargo business SGR ikianza goods will be delivred to Port Bell in one day. 7 hours by SGR to Mwanza then overnight by lake victoria vesels to Port Bell.
Wanabaki na GDP ya kupika!
 
We nawe kila tukio Kenya unaleta humu. Sasa ni nini cha ajabu hapo? Ama Tanganyika ajali kama hizo hazifanyiki?

Alafu angalia watu wa Marakwet ndio hao wako karibu kuvuna mahindi. Lakini kila siku hapa tunaambiwa Tanzania inalisha Kenya. Ama hizo mashamba zinamilikiwa na watanzania?
Hahahaaaa, hapo imepostiwa ili kuonesha jinsi gani nchi yenu imegubikwa na rushwa, hiyo gari huenda watu wamehonga gari imepinduliwa makusudi ili watu wapate kuvujisha mitihani. Kuhusu mashamba ya mahindi, hivi kweli robo heka ikalishe wakenya zaidi ya milioni 60 kweli? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom