NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,055
- 19,263
Huwa unanikalia mtu uko Na stress Sana. Unakaa una Maisha magumu Sana. Yani posts zako zote huwa za hasira tu.Walipe royalties! ni kama Wakunya wanavyohangaika na Brand Kilimanjaro!
Huwa unanikalia mtu uko Na stress Sana. Unakaa una Maisha magumu Sana. Yani posts zako zote huwa za hasira tu.Walipe royalties! ni kama Wakunya wanavyohangaika na Brand Kilimanjaro!
Tunajua lazima utoe boko, wakenya tunawajua vzr, midomo mipana lkn hamna kitu, tunasubiri hizo updates 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣The weather is not good. I will be in many estates and bring you updates.
By the way, vumbi Nation 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Have been in Nairobi for 2 days now. What you see on pictures does not give you the real situation. Construction is all over literally. It is like Nairobi is when is getting built. Am at Mirema now. From my balcony I see constructions at every corner.
View attachment 2804797View attachment 2804798
Uko na picha hapo ya hizo Gari moshi kutoka Chinese museums?Kenya tulichoka na SGR tangu 2017. Danganyika bado hamjwahi experience SGR yani miaka 7 baadaye. Must be sad to be a Bongolala.
Heheheeee hiyo mechi ni mkenya mwenzio, yupo Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilisema kwamba mitanzania itaanza kuitazama KPL na tayari matokea ndo haya
So, Azam wao ni wajinga kuwaletea azam tv huko kwenu? Kwahiyo hamuangalii mpira? Mtake msitake lazima mnunue madishi ya Azam ili mtazame ligi yenu, na Azam inakwenda kuwa Tv inayotazamwa zaidi Kenya mtake msitake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Azam ndio brand kubwa ya media huko lazy land kwahivyo lazima mtazitazama mechi za KPL. Nikama kuweka kipindi citizen TV, lazima wakenya wataitazama. Tena bado mnatupatia pesa Zenu za madafu 😀
Jana nimeona bendera kadhaa za Kenya kwenye derby ya kariakoo, ni suala la muda tu Kenya yote kushabikia Simba na Yanga.
Quality za Barabara Ukunyani hebu angalieni zilivyo nyembamba!
Hakuna lanes demarcation hakuna sidewalks!
View: https://twitter.com/_Mwangi_1/status/1721206089671147742
unaumwa mavi wewe!This road is better than 99.9% of roads in Tanzania
Barabara nyingi za Tz zipo hivi 👇This road is better than 99.9% of roads in Tanzania
Masai mara ,ni cha mtoto hata baiskel hutaona imeandikwa 😁😁Nafikiri hakuna NP duniani iliotoa brand name kwa companies nyingi kama Serengeti
View attachment 2805648View attachment 2805649View attachment 2805650View attachment 2805651View attachment 2805652View attachment 2805653View attachment 2805654View attachment 2805655
Bro, wakenya wengi wanashabikia Simba na Yanga, tena ni mashabiki wanazi kabisa, wanapita pale kazini wakiwa na jezi na bidhaa kadha wa kadha za hizi timu na wanashangilia kabisa, jana kuna mkenya bahati nzuri ni Yanga mwenzangu alikuwa anarudi kwao akaniambia leo Simba hatumuachi hata afanyeje. Ofcz hizi timu zina mashabiki wengi sn, jana nmeangalia mpira mule mule kazini wazungu kwa waafrika wameketi wanasubiri flight zao lkn wakawa wanashangilia sn, hizi timu zetu zina mvuto wa asili, tukiendelea kuzi brand zitafika mbali sana.Jana nimeona bendera kadhaa za Kenya kwenye derby ya kariakoo, ni suala la muda tu Kenya yote kushabikia Simba na Yanga.