Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Kisumu has wider roads than dar
Kenya tulichoka na SGR tangu 2017. Danganyika bado hamjwahi experience SGR yani miaka 7 baadaye. Must be sad to be a Bongolala.View attachment 2804565
Placed safely on SGR line...
Wakunyata tafuteni dawa ya ku deal with your chest pain.
Huu ni wivu tu😁Kenya tulichoka na SGR tangu 2017. Danganyika bado hamjwahi experience SGR yani miaka 7 baadaye. Must be sad to be a Bongolala.
Ukipata ushahidi alikufa nairobi hospital unitag nifunge acc sasa hviMagufuli kabla hajajifia Nairobi hospital😆View attachment 2804969
Nani atizame hakuna hata mashabiki uwanjani 🤣🤣🤣🤣 niache kuangalia simba na yanga niangalie KPL nawazimu labdaNilisema kwamba mitanzania itaanza kuitazama KPL na tayari matokea ndo haya
Huwa nikipita kwenye hii thread huwa nashangaa akili za wakenya!!Kisumu has wider roads than darView attachment 2805141View attachment 2805142View attachment 2805143
Failed one ambayo mpaka leo haijalipa hata centi moja ya deni la mchina ??🤣🤣🤣🤣 na bado inazalisha loss kwa kula pesa za tax payersKenya tulichoka na SGR tangu 2017. Danganyika bado hamjwahi experience SGR yani miaka 7 baadaye. Must be sad to be a Bongolala.
Tena sumbawanga ni wider and clean ina mpaka mitaro, pedestrian path za kisasa 🤣🤣🤣Huwa nikipita kwenye hii thread huwa nashangaa akili za wakenya!!
Wengi wenu nyie hamna akili kabisa👎👎kibarabara kimoja eti (wider roads) wingi wa nn?? Hiyo barabara hata sumbawanga ipo.
Hii acronym SGR stands for standard gauge rail. Ambapo Tz's one hii 👇Kenya tulichoka na SGR tangu 2017. Danganyika bado hamjwahi experience SGR yani miaka 7 baadaye. Must be sad to be a Bongolala.
Outstanding👏👏👏Hii acronym SGR stands for standard gauge tail. Ambapo Tz's one hii 👇View attachment 2805252kwahyo labda utueleze ni SGR gani Yani hatukonayo already.? 🤣🤣🤣
Tukisema sisi kua simba hakuna team tunatukanwa haya sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mo ni tapeli sio mwekezaji
View: https://twitter.com/ufmradiotz/status/1721196497620942937?t=A7uBtb-P8002sw7e0c210g&s=19
Wewe ni mgeni hapa jiulize kwanini wenzako wametulia, nionyeshe kitu Kama hicho CBD ya darHuwa nikipita kwenye hii thread huwa nashangaa akili za wakenya!!
Wengi wenu nyie hamna akili kabisa👎👎kibarabara kimoja eti (wider roads) wingi wa nn?? Hiyo barabara hata sumbawanga ipo.
Wakunya Kwa Sasa Kila sekta tunawajambia ni kuvuta ushuzi tuu 😁😁😁
View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1721095986695602217?t=Ct34TmuUX_ST6ABLaKE3Sg&s=19