Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie Geza Ulole na ChoiceVariable, hivi hii serikali mnayoisifia inatafuta wawekezaji na watalii, ilishindwa nini kutumia fursa ya mechi ya Simba na Al Ahly kuitangaza nchi yetu, ikamwachia Kagame aitumie aitangaza Rwanda?
Kagame alishawahi huko mapema akachukua rights but kitendo Cha Mechi kuchezewa Tanzania ni tangazo tosha kuliko kuvaa fulana za visit Rwanda.
 
Kagame alishawahi huko mapema akachukua rights but kitendo Cha Mechi kuchezewa Tanzania ni tangazo tosha kuliko kuvaa fulana za visit Rwanda.
Kubalini mmejaza vilaza na wababaishaji serikalini, mnapokutana na wenye akili mnazidiwa.. Watu kujua Tanzania kuna mechi ni kitu kimoja lakini kujua mlima kilimanjaro uko Tanzania ni kitu kingine.
 
Kwahiyo kutangaza dk 90 ni bora kuliko campaign ya Royal Tour?
Mechi ile ilioneshwa live na FIFA, tena Rais wa wake alikuwepo na watu wengi sana ambao hawaijui Tanzania waliiangalia. Wangeonesha matangazo ya vivutio visivyo tangazwa sana, kama hifadhi ya Ruaha au hata Gombe, ingeongeza watalii sana.
 
mwaiofhawaii anadai wao hutumia KNS Mv Jasiri na Shupavu kusafirisha abiria kati ya Mombasa na Lamu!
 
Mechi ile ilioneshwa live na FIFA, tena Rais wa wake alikuwepo na watu wengi sana ambao hawaijui Tanzania waliiangalia. Wangeonesha matangazo ya vivutio visivyo tangazwa sana, kama hifadhi ya Ruaha au hata Gombe, ingeongeza watalii sana.
Hujajibu swali 90 mins adverts vs a documentary Good Morning America na National Geographic kipi bora? Usiwe na upumbavu wa ku-blame kila kitu!
 
Na Bado mnajengewa visima na Mr beast😂😂... katika maneno kumi ya mkenya chukua moja...

View: https://youtu.be/mwKJfNYwvm8?si=TyqiVQQWMErItaxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…