Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Soma vzr utanielewa 🤣🤣👇👇👇👇 hii sijui economic programe hu ni mlango wa mbele lakini kuna mlango wa nyuma wenye dhumuni kubwa
Nafkiri hujanielewa vzr nimekwambia hakuna mtu atakupa pesa za bure bila mikakati, mara nyingi pesa za bure nyuma yake kuna mikakati ya ushoga na usagaji na ukitaka kuamini haya maneno panuenu midomo museme ushoga tanzania marufuku alaf uone hzo pesa zitatoka au laa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
The hidden side
F-FYcs2WUAAKe_5
kuna kutu kuliko ile reli ya mkoloni yenye miaka 100 🤣
 
Jioneee Todauti 😂😂😂😂😂😂
Wale choka mbaya huwa wanafunga safari kabisa kuvuka boda huku Holili au Loitok tok ili kupata ciroc ya east Africa.. Nyagi.

Huko kwao ni kinywaji cha washua.. 🤣🤣
 
Mm sikuaminishi ila nakueleza kua dunia hii hakuna msaada wa bure ni hayo tu weka akilini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo sio Msaada ni kwamba dirisha la Tzn kwenye ku access concessional loan limeongezwa na kufikia Dola 450.
 
Hii reli ikiwa na efficiency ya over 95 percent nakwambia dar port itakua moja ya startegic port in africa

Coz sio zambia tu itachagiza congo kupitia kasumbalesa itachagiza zimbabwe and malawi kwa pamoja
Mchina aichukue haraka sana aifanye SGR,hakuna sababu ya serikali kuikumbatia wawape hao private sector so long as itaongeza efficient kwenye Bandari ya Dar.

Maana bila kufanya hivi tutapata ushindani mkubwa kutoka Nacala na Beira Ports zote ziko kwenye uwekezaji mkubwa Sasa hivi

View: https://twitter.com/TheAfricaReport/status/1720563001017635329?t=ovDBDvSezd0L3AXwpYFheA&s=19
 

Hiyo facility Huwa Ina grant ndani yake na ndio maana Iko kwenye kundi la Msaada kuliko Mkopo.

Hela za uviko 19 zikitoka hapo ambapo Kuna grant,concessional loan.

Niliwaleteaga mfano humu wa Mkopo wa covid usio na riba na pia mda mrefu wa kulipa.

Kwa hiyo kwenye facility hii imf Huwa Ina term kama Msaada Kwa sababu ni dirisha la kusaidia Nchi maskini zilizo kwenye kundi la Poor & Lower Middle Income Countries.

Kwanza mpaka hapo tume underperform Kwa Ile pesa ya Mwanzo ambayo ndio waliitumia kama base ya kama waongeze au hapana.
 
Back
Top Bottom