Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli kabla hajajifia Nairobi hospital😆
images.jpeg
 
Hakuna mtanzania ambae yupo interested na vitu vya kenya ukitoa sisi ambao tupo humu ili tuwaumbue. 🤣🤣🤣
Azam ndio brand kubwa ya media huko lazy land kwahivyo lazima mtazitazama mechi za KPL. Nikama kuweka kipindi citizen TV, lazima wakenya wataitazama. Tena bado mnatupatia pesa Zenu za madafu 😀
 
Azam ndio brand kubwa ya media huko lazy land kwahivyo lazima mtazitazama mechi za KPL. Nikama kuweka kipindi citizen TV, lazima wakenya wataitazama. Tena bado mnatupatia pesa Zenu za madafu 😀
Kwa wewe unavyojua kupitia kisimbuzi cha AZAM tv kuna local channels za bongo ngapi mzee.?🤣🤣🤣 Kiazi kweli we Jamaa
 
Kwa wewe unavyojua kupitia kisimbuzi cha AZAM tv kuna local channels za bongo ngapi mzee.?🤣🤣🤣 Kiazi kweli we Jamaa
Mwache Mpumbavu aendelee kuota! Hapo Ukunyani hamna media house ina infrastructure na financial muscles kama Azam media! As a matter of fact Azam media peer wake ni the likes of Naspers n MNet!
 
Maneno ya pipeline yalikuwa hivihivi! Kumbuka Uganda wana 2 wagon ferries, a tanker vessel na sisi tuna 1 wagon ferry plus a tanker vessel! Not to forget about a lot of oil distribution companies in Tanzania with thousands of road tankers!

Uganda has large track of land at Tanga port linked all the way to Mwanza by a recent modernized MGR!
 
Ni akili hawana wamejaa arrogance, mkenya anapaswa kumuheshimu sana mganda sababu ndio mtu pekee Africa wanafanya nae biashara kubwa kuliko nchi yoyote, Uganda ikipunguza tu business volume yake na Kenya, lazima wafilisike uzuri Uganda ana option, Kunyaland hana option

View attachment 2805048
Don't worry sth is cooking up! Ilianza safari ya matumaini ya mkopo was SGR China, jamaa akarudi mikono mitupu!

Sasa Uganda wamechoka na cartel ya oil importation inayowa-expose kwa hiked fuel prices! Minister of Energy katumwa Dar as an urgent matter!
 
Back
Top Bottom