Aliona tope unafikiri ni mjinga yeye?Alikataa kushuka kwenye gari Mashujaa grounds!
Aliona tope unafikiri ni mjinga yeye?Alikataa kushuka kwenye gari Mashujaa grounds!
Dah shikamoo Kenyans politicians.Huwezi amini hazina miaka 10! Ni walinunua mitumba!
Wewe maendeleo ya Kenya inakuumiza kichwa sana. Hakuna Cha upuuzi wala nini. Interchanges tunajenga kwa sababu uwezo tunayo na ni kwa manufaa ya wakenya. Kama inakuuma sana njoo uzibomoeHatuwezi kufanya huo upuuzi we are of sane mind kuanzia viongozi wetu mpaka wananchi.
Mashamba ya mihogo ndani ya Dar es Salaam! Alafu mnatupigia kelele na Jiji la kijinga kama hiiKuna mbwa mmoja huwa anaponda mashamba ya mihogo kumbe wao ndiyo walaji wakubwa.View attachment 2802240
Topestan failed state
Ukiingia kigali wale unaowaona kwenye picha mitandaoni uwaoni 😃Mimi naenda kesho. Usiniulize naenda kufanya nini na mvua hizi 😁
My ignorant sister or brother, sijakielewa hii, unamaana kwamba kuwa na shamba ndani ya jiji sio maendeleo au.? 🤣🤣🤣. Nikuonyeshe miji ya mabwana zenu yenye mashamba within.?Mashamba ya mihogo ndani ya Dar es Salaam! Alafu mnatupigia kelele na Jiji la kijinga kama hii
Tumezungukwa na majirani wanaojua kujitangaza sana mitandaoni lakini ukifika makwao ni upuuzi mtupu.Ukiingia kigali wale unaowaona kwenye picha mitandaoni uwaoni 😃
🤣🤣🤣🤣Ukiingia kigali wale unaowaona kwenye picha mitandaoni uwaoni 😃
everything in tz is just one .....their entire sports is yanga simba shenanigans in that one tired monotonous mkapa stadium,their beach destination being only on the zanzibar strip,their only city being dar....the rest are extremely underwhelming with a conservative and sleepy mentality and they imagine to be near Kenya lol.Ruto may run down the Kenyan economy but Kenyan's resilience is what has been saving the whole situation.I always imagine if all kenyans were transferred to the tanganyika land and tanzanians brought over here....what would be the outcome.Answer that for yourself.....RESPECT KENYANS .
Hii battle ilipoteza mvuto kuanzia mwaka jana, sasahiv imekua ni kenyan empty talks vs Tz's actual development. Mnapiga nduru while Tz inaendeleza miji karibu yote kwa speed ya ndege.. Dom pekee 👇And the good thing we don’t give excuses, we just ask for opportunities….. if we can fully connect our lands with enough piped water for agriculture, we will scale to heights of first world, government or no government…. Kenyans unlike Tanzanians are resilient and self sufficient, we don’t wait for government hand outs… even where it looks like it, it’s usually the politicians just playing optic politics for survival….. I can proudly say my village is a good example of how Kenyans can change their own lives without outside government help…15 years ago, water was a perennial problem…. About 10 years ago the issue was resolved via a huge water project originated straight from the source in Mt.Kenya forest …. People went to work…. Agri business took off… wealth increased…. Today every home is a stone and brick mortar constructed…. Every home has a vehicle or two… as I posted before, they had to put a car dealership in the village and now 3 petrol/service stations….. This has happened in other parts of Kenya too…Show Kenyans how to fish and watch them go to work…. But on the other hand Tanganyikans prefer CCM fish since fishing is too hard…. 🤣🤣🤣😄
Kula chuma hicho dar kama london vile👏👏
Nakumbuka pale Tanga ndio tulimfurusha waziri wa kenya wakijaribu kulaghai waganda kuhusu kupitishia bomba la mafuta Mombasa 🤔Mombasa hakuna logistics bora za kupokea mzigo huu wa pipeline. Through Tanga port mizigo itasafirishwa na reli ambayo inapita along the pipeline route hence easy and fast implementation of the project with minimal cost compared to Mombasa route plus pipeline coating facility ipo Nzega zile pipeline za Ugandan section zItasafirishwa from Nzega by train to Mwanza port for onward shipping to Ports in Uganda.
Kunyans have missed the boat on EACOPP😁
Don't confuse backyard gardens with acres of cassava plantations za DarMy ignorant sister or brother, sijakielewa hii, unamaana kwamba kuwa na shamba ndani ya jiji sio maendeleo au.? 🤣🤣🤣. Nikuonyeshe miji ya mabwana zenu yenye mashamba within.?