Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1000002516.png
 
Attachments

  • Screenshot_20231103-121727.png
    Screenshot_20231103-121727.png
    869.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20231103-121723.png
    Screenshot_20231103-121723.png
    693.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20231103-121723.png
    Screenshot_20231103-121723.png
    693.2 KB · Views: 9
MFUPA ULIO MSHINDA FISI

DAR ES SALAAM 02/11/2023

View attachment 2802335

ooh ooh mmh mmh (chally)
Hey hey, heey ooh ooh

Sikatai yule muonyesha wivu
Ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
Lakini pia uvumilivu
Na vitendo vya karaha vilimuumiza

Mwenzio mimi ni mtulivu
Na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama
Ulonipa mimi leo inaniuma eh

Fikira zako ziko vibaya
Na kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda
Lakini ni kama rafiki wa mtima

Haya ulofanya leo
Ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo
Aliyokupa niliyaona

Those were the days
Unakula wimbo kama huu huku unanyoosha wakenya👏👏👏
 
Hii battle ilipoteza mvuto kuanzia mwaka jana, sasahiv imekua ni kenyan empty talks vs Tz's actual development. Mnapiga nduru while Tz inaendeleza miji karibu yote kwa speed ya ndege.. Dom pekee 👇
View: https://youtu.be/uTZcxueUr3A?si=5Qj8KAZlgDZngkuh. View attachment 2802330.Dom airport 👇
View: https://youtu.be/JDw6g4h5i_M?si=m6btBm-bq5v4UlJD. DOM outering road 👇
View: https://youtu.be/u5AiPnscy58?si=K3GFVTlscA1JSxUT. DOM SGR 👇
View: https://youtu.be/9zaYtCNFQ-Y?si=VY0Zdcm5hQOKd4eC. Real estate development in dodma View attachment 2802339.. hii ni DODOMA tu na wala sijamaliza kupost

jana ali-post mitumbwi yao used pale Mombasa nikamgonga KO!
 
Don't confuse backyard gardens with acres of cassava plantations za Dar
Natamani kungekua na uwezo kutuma voice humu Ili nikutukane huku nikikufundisha 🤣🤣🤣
P04-221226-327.jpg
9914098.jpg
wewe mpumbavu hujui chochote kuhusu hii dunia, nyamaza kimya punda wewe.. nitakutafuta video alizopost mkunya mwenzako Ibrahim Onami huko YouTube akionyesha mashamba ndani ya cities za US ..
 
Wewe ukilaza wako tumeizoea hapa ndani. Ni dharau kubwa sana Mombasa kulinganishwa na kijiji cha Mwanza. Mwanza naipa sehemu kidogo tu ya Mambasa inaitwa KizingoView attachment 2802142View attachment 2802144View attachment 2802147
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Asante kwa kuanza kunichekesha weekend hii
 
ooh ooh mmh mmh (chally)
Hey hey, heey ooh ooh

Sikatai yule muonyesha wivu
Ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
Lakini pia uvumilivu
Na vitendo vya karaha vilimuumiza

Mwenzio mimi ni mtulivu
Na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama
Ulonipa mimi leo inaniuma eh

Fikira zako ziko vibaya
Na kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda
Lakini ni kama rafiki wa mtima

Haya ulofanya leo
Ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo
Aliyokupa niliyaona

Those were the days
Unakula wimbo kama huu huku unanyoosha wakenya👏👏👏
Upo vyema Ndugu
 
Hii battle ilipoteza mvuto kuanzia mwaka jana, sasahiv imekua ni kenyan empty talks vs Tz's actual development. Mnapiga nduru while Tz inaendeleza miji karibu yote kwa speed ya ndege.. Dom pekee 👇
View: https://youtu.be/uTZcxueUr3A?si=5Qj8KAZlgDZngkuh. View attachment 2802330.Dom airport 👇
View: https://youtu.be/JDw6g4h5i_M?si=m6btBm-bq5v4UlJD. DOM outering road 👇
View: https://youtu.be/u5AiPnscy58?si=K3GFVTlscA1JSxUT. DOM SGR 👇
View: https://youtu.be/9zaYtCNFQ-Y?si=VY0Zdcm5hQOKd4eC. Real estate development in dodma View attachment 2802339.. hii ni DODOMA tu na wala sijamaliza kupost

Wakenya wote naomba muangalie hizi video mjifunze kitu tafadhali.
 
Back
Top Bottom