Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,878
Wewe ukilaza wako tumeizoea hapa ndani. Ni dharau kubwa sana Mombasa kulinganishwa na kijiji cha Mwanza. Mwanza naipa sehemu kidogo tu ya Mambasa inaitwa KizingoYani ukija kwenye suala la modern city mombasa haisimami hata kwa ukucha mbele ya mwanza 🤣🤣🤣 hili hata ukitaka tuanze battle sasa hvi ntakuaibisha in out
Wewe bisha tu twende kazi sasa hvi