Wacha sisi Tz tuendelee kuwa hapa EA ili tuwe kama kioo cha wao kijitazama na ku up their game.Region ya kisenge sana hii, can you imagine region nzima hakuna electrified railway, hakuna BRT wala approved stadium by CAF na wala hakuna representative wa CAF tournament itakayofanyika mwakani, hii region imelaaniwa wallahi, watanzania tuna kila sababu ya kutojihusisha na hii region ya kipuuzi tusije laaniwa na sisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣