Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafta Tanzania nzima huwezi pata barabara kama hii. Na hii ni Kisumu
View attachment 2801954
Na mukipata kama hizi itakuaje simutatembea uchi kabisa 🤣🤣🤣
Na wala sio dar sio mwanza na pia sio arusha
Screenshots_2023-11-03-07-46-08.png
Screenshots_2023-11-03-07-46-17.png
Screenshots_2023-11-03-07-46-30.png
 
Hata angeenda China, Japan angekutana na lugha za mataifa hayo, kikubwa ni kwamba he trusted our airline, he trusted our pilots, he used it tofauti na Camila didn't trust even your weather 🤣 alijua anatakiwa kuwa na umbrella sababu ya flying toilets emergency landing na as a weapon kujihami na vibaka wa kanairo 🤣🤣

View attachment 2801966View attachment 2801967View attachment 2801968
Kweli Kunyaland ni topestan, hivi viatu vya Camila ni tope tupu 😂😂😂

Screenshot_20231103-080541.jpg
 
Why are you ashamed of posting the real photo.?… hutaki tucheke????..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mitumba kwetu mwiko!
TNS_Msoga_400x300.jpg



n4.jpg



n3.jpg



FYI
Baada ya kuona serikali ya Kikwete imenunua hizi, kama kawaida yenu mkakurupuka kununua mitumba kutoka jeshi la Spain! Upo busy saahii kututambia! Mlinunua pia mitumba F5 kutoka Jordan nyingine zimedondoka nyingine haziwezi kuruka.
 
So a whole air Tanzania commercial Airbus is always on disposal for the president to use in state visits
Kama amekodisha ww unaumia nn ?? Au ww ndio unalipa hio pesa mbona hukuuliza alipoenda india kaenda na air tanzania full of passengers

Diamond anazurura na private jet za kukodi mbona hushangai 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom