Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa checki eti Var room huku South. Si mngeacha tu !!! Ona kiti. Bona Tanzania hupenda kuiaibisha Afrika Mashariki!?
View attachment 2786940
Screenshot_20231020-164959_WhatsAppBusiness.jpg
Screenshot_20231020-164959_WhatsAppBusiness.jpg
Screenshot_20231020-165137_WhatsAppBusiness.jpg
20231020_164738.jpg

Kunyan roho zinawauma kwa roho mbaya
 
Umuhimu wa kushindanisha kandarasi ndo unakuja hapa! Kadogosa kashatutia kidole! Sasa aje aeleze tena ule upuuzi aliotuambia! Na pia atueleze alipata wapi guts za kubishana na PPRA?

Hawa Yapi Merkezi wana kiburi wanangoja Waziri kaenda kugawa chai kwenye media halafu wametoa tangazo la kupunguza siku za kazi! Hii ni baada ya kupunguza watu pia!

Na mliotetea ule ujinga mje mjieleze hapa!

CC:

Sama boy 255 n co!​

Umuhimu wa kushindanisha kandarasi ndo unakuja hapa! Kadogosa kashatutia kidole! Sasa aje aeleze tena ule upuuzi aliotuambia! Na pia atueleze alipata wapi guts za kubishana na PPRA?

Hawa Yapi Merkezi wana kiburi wanangoja Waziri kaenda kugawa chai kwenye media halafu wametoa tangazo!

Na mliotetea ule ujinga mje mjieleze hapa!

CC:

Sama boy 255 n co!​

Cheap is expensive
 
Back
Top Bottom