The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Leo tumeionyesha dunia kwamba tupo vizuri kiasi gani, na hili pia ni onyo kwa EA kwamba opening ceremony must be held at Lupaso.
Dah asa kama ni mechi 1 tu hivi, lile jambo pevu la 2027 itakuaje? Kunyaland yote imepagawa 😅😅Leo tumeionyesha dunia kwamba tupo vizuri kiasi gani, na hili pia ni onyo kwa EA kwamba opening ceremony must be held at Lupaso.
Superlative fanatics kwenye adjectives and adverbs zimeanza kuwarejea 🤣 wameiita the massive and expansive great lakes craft ever to be built kumbe hawakuona Mv Mwanza #HapaKaziTu 😅
Matokeo yake kiboat chao kinaonekana kama inflatable rescue canoe ya Mv Mwanza #HapaKaziTu 😅
View: https://twitter.com/amosngongo/status/1715286818852110691?t=7QWX3oZuB5ctQQmzx55uGw&s=19
Asante kwa kukubali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣One Built by kdf another by Koreans
Apana tambua dumb shit African eventsmwaiofhawaii ona vile sisi tunayaweza, AFCON opening ceremonies and finals to be held in Tz 👇View attachment 2787466View attachment 2787467View attachment 2787468. Reborn Ktb unaumia ukiwa wapi.? 🤣🤣
What is this.? 👆🤣🤣🤣Apana tambua dumb shit African eventsView attachment 2787482View attachment 2787483View attachment 2787484
uwanja wa renewable energy 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Talanta stadium will prevent that
Uwanja usiokuwa na track ya kukimbiauwanja wa renewable energy 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
mbona mmekuwa wapole leo kulikoniMitanzania haijui hii phrase ya from river to sea inamaanisha death to all Jews.
View attachment 2787507
huo ni ujumbe wa watu kwa jamii za kimataifa hatuna shida nao sisi sio midle eastMitanzania haijui hii phrase ya from river to sea inamaanisha death to all Jews.
View attachment 2787507
Kumbe ulikua unaangalia kabisa channel ya AZAM .. good boiMitanzania haijui hii phrase ya from river to sea inamaanisha death to all Jews.
View attachment 2787507
Kazi ya security ni kuzuia mabango Kama hayo, hii ni aibuhuo ni ujumbe wa watu kwa jamii za kimataifa hatuna shida nao sisi sio midle east
paaa! kwenye 18 zako umemkamata subiri povu zo huko twiter keshoKumbe ulikua unaangalia kabisa channel ya AZAM .. good boi
Hakuna mtu kenya anaangalia Azam hii picha nimeokota twitterKumbe ulikua unaangalia kabisa channel ya AZAM .. good boi