Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale wakoloni miaka ya 1914 kwann walijenga reli wakaacha barabara ?? Au wale walikua wapumbavu kuliko wewe ??🤣

Shida yako ww unataka akili za ki beberu kila mtu awe nazo, china ni tishio kwenye ulimwengu huu lakini ndio nchi inaongoza kwa mtandao wa reli dunia nzima so wao ni wajinga kuliko wewe muuza mitumba??

Hao mabeberu wenyewe wanategemea reli kama huna taarifa 😅😅😅😅😅

Burundi inaonganisha congo kwenye mzigo mwingi zaidi, mwanza wana target soko la uganda, ww ulitaka wajenge kwenda wapi uyole au?? 🤣🤣🤣🤣🤣
Uwe unasoma na kuelewa,wewe ni mpumbavu.

Mkoloni alikuwa na projects za mashamba ndio akajenga reli,hakujenga reli kama pambo kama mnavyofanya nyie.

Mkoloni alikuwa na mashamba makubwa ya mkonge,pamba,karanga ,chai ,kahawa nk ndio akaweka reli kusafirisha Hilo.

Nyie mbumbumbu mnajenga Sgr Ili mkavunie nini?
 
Sema wengi wanaosifia wala hawalambi teuzi, teuzi wanalamba wale ambao hawana hata muda wa kujiita chawa wa mama wala kusifia sifia. 😂😂😂
Sasa Mimi siko hapa kutafuta teuzi nafurahia mafanikio ya Mama na vile ametuwekea mazingira safi.

Mimi mkulima just imagine tulikuwa tunauza gunia la kilo 100 la mahindi Kwa 20,000-40,000 baada ya mama ni 60,000-100,000. Mwaka huu tuu Kwa Serikali tumeuza Kwa 90,000 ,why yaani why nosifurahie na ku enjoy kazi nzuri ya mama wa Taifa?

Kilimo Kwa Sasa ni biashara sio adhabu kama awamu ya wale waigizaji.Na mama amemwaga pesa Kwa watu wa chini.
 
Uwe unasoma na kuelewa,wewe ni mpumbavu.

Mkoloni alikuwa na projects za mashamba ndio akajenga reli,hakujenga reli kama pambo kama mnavyofanya nyie.

Mkoloni alikuwa na mashamba makubwa ya mkonge,pamba,karanga ,chai ,kahawa nk ndio akaweka reli kusafirisha Hilo.

Nyie mbumbumbu mnajenga Sgr Ili mkavunie nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mukishikwa kalio munaanza kuita watu wapumbavu

SGR ni lazima sio ombi kama munataka efficiency ya port na uchumi imara reli ni lazima sio ombi budaa 😅😅😅😅😅😅

Ndio maana inajengwa kwa nguvu zote kwasababu ni lazima, huna hata akili yakufukiria vizazi baadae ikiwa wazee wa zamani walitufikiria sisi kondoo kabisa ww
 
Tusipende mbali Kwa Wazungu na wakoloni hao Huwa hawawazi.kama.watu weusi.

Hapo Kwa Wakunya Sgr imeleta efficient ipi kwenye uchumi na port?

Tena wao wamejenga kwenye busy corridor tofauti na Tzn iliyogenga Sgr kwenda kusiko na lolote la maana 🤣🤣

Unasubiria efficient 😁😁😁😁

75% ya Mzigo unaenda Kusini wewe unatumia matriln kupelekea kwenye 25%,kama sio Utaahira ni kitu gani.
 
Ww huoni SGR imejengwa kwa mihemko ya kukimbizana na tanzania wakaingia mikataba mibovu ambayo haitawanufaisha hata iweje 😅😅😅😅

Alaf kenya ni nchi inayotegemea zaidi uganda lakini tanzania kunchi zaidi ya 7 zimetuzunguka bado huoni tofauti hapo?

Busy corridor gani wakat reli imejengwa kwa mikopo ghali isioweza kujiendesha au hilo hujui, watu wanaakili ya kufkiri 10 yrs to come sio ww umekaa na nyanya hapo unawaza ziuzike leo na leo ukanunue zingine

Na kama bagamoyo port ingejengwa kwa mikataba ile hata upanuzi wa dar port usingefanyika,

Leo watu 61m tunashindwa ku handle wakifika watu 100m utaweza kusafirisha watu kwenye barabara??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizo ni excuses eti wamejenga kukimbizana sana na Tanzania.

Kenya haitegemei Uganda Kwa kiwango hicho,75% ya mizigo wa Mombasa Port unaishia ndani ya Kenya,hiyo iliyosalia ndio inaenda Nchi za jirani.

Narudia kwenye hoja ,Kenya wamejenga Sgr kwenye ukanda wa biashara wanakula hasara,Tzn inajenga Sgr kwenda ukanda wa Maskini we Kwa akili zako za kulia ugali unaona Kuna Cha maana mtapata?

Hovyo kabisa ndio maana nawaitaga wakurupukaji,Tazara imeshindwa ndio ije iwe hiyo Sgr ya Mwanza/Kigoma na vinchi hivyo maskini hapo?

Mtaishia kupigia picha tuu humu ila ni mradi wa kipumbavu,wakoloni hawajufanya ujinga kama huu wa kujenga reli za kupigia picha.

Hata reli ya Tazara ililazimishwa WB walipinga kwamba Haina faida,Kiko wapi Leo ni pambo tuu,na kipindi kile alikuwepo mbumbumbu mwingine wa uchumi kama Mwendazake.
 
Back
Top Bottom