ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
www.capitalfm.co.ke
Hawa c wanapenda kuiga kila wanachoona kwenye Tv, tatizo lao pesa hawana wanaishia kujenga vitu juakali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Moja ni local airport nyingine ni general aviation airport 😅😅😅 ila wakundustan mtafutiwe mganguzi sasa!
Hilo handaki hapo chini ndio subway au underpass ya ndege?
View attachment 2784775View attachment 2784776
Mmehonga! KQ na ET ikiwa wapi?KQ Named Africa’s Leading Airline For The 5th Time
![]()
KQ named Africa's Leading Airline for the 5th time
NAIROBI, Kenya, Oct 17 - Kenya Airways (KQ) has been named Africa's Leading Airline for its economy and in-flight magazine (Msafiri) by the World Travel Kenya breaking news | Kenya news today |www.capitalfm.co.ke
Shoddily karma intervention
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1714282583775985793?t=ZbEApj5qeMSZB3hOikyDmw&s=19
Go down au godown wewe kipchirchir?😂Go down
Mkurupukaji hapo ni Kikwete, na ndio serikali yako ilisign mikataba mibovu mno katika historia ya nchi yetu. Na hatuwezi kuendelea na mikataba inayotunyonya na isiyo na tija kwa taifa.
Kuna Mkataba wa Buzwagi: Karamagi alichukua mihuri ya wizara na kusafiri nayo mpaka Europe na kusign mkataba wa Buzwagi kwenye mahoteli na machangudoa.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1666189845390057478?s=20
Usisahau kuwa haya ni machakoni ya fasta fasta kuwahi Super Cup tu, baada ya hapo utafungwa then machakoni ya ukweli yataendelea mpaka July 2024.Wao bado wana viwanja vya ndotoni sisi tunazidi kuleta mambo ya ulaya kwenye hii region ya watu wazembe na wapumbavu.
We call it warehouse…..😄Go down au godown wewe kipchirchir?😂
Wote Mkapa na Kikwete walitukosea sana watanzania kwa kuiuza nchi yetu. Mkapa akiwa ni zao la Columbia University na Kikwete akiwa ni zao la World Economic Forum, taasisi zote hizo ni viwanda vya kutengeneza neo con puppets. Naona Januari na yeye wamempeleka wizara ya nje ili awe karibu na hayo majamaa. Mungu tusaidie kwakweli.Utakua na ugomvi binafsi na kikwete.Mikataba mingi ya madini imesainiwa awamu ya tatu wakati wa akina Mramba,Msabaha,Karamagi na hapa ulikuwa ni muda wa ubinafsishaji.Lengo lilikuwa zuri lakini utekelezaji wake ndio tatizo
Hiyo warehouse siku hizi ndio go down?😳We call it warehouse…..😄
AFCON Ni world tournament???Kunyalazy akili hawana,halafu hawajui kama tulishaandaa afcon under 17 2019 hata hii afcon kubwa tuna uwezo wa kuandaa peke yetuView attachment 2784551
Sidhani kama unajua nini unachosema.Utakua na ugomvi binafsi na kikwete.Mikataba mingi ya madini imesainiwa awamu ya tatu wakati wa akina Mramba,Msabaha,Karamagi na hapa ulikuwa ni muda wa ubinafsishaji.Lengo lilikuwa zuri lakini utekelezaji wake ndio tatizo
Hata JPM alikosa maarifa jinsi ya kuitoa Tanzania kwenye hiyo mikataba! Tena tutalipa sana fidia kwa ukurupukaji wake!Wote Mkapa na Kikwete walitukosea sana watanzania kwa kuiuza nchi yetu. Mkapa akiwa ni zao la Columbia University na Kikwete akiwa ni zao la World Economic Forum, taasisi zote hizo ni viwanda vya kutengeneza neo con puppets. Naona Januari na yeye wamempeleka wizara ya nje ili awe karibu na hayo majamaa. Mungu tusaidie kwakweli.
Ndio nabii Ruto anavyowadanganya nyie mafala si ndio? 🤣🤣🤣Toa ujinga hapa,
How comes 70% ya villages zenu ziko na electricity but household ni less than 35% with it??
Kwani mko 1980, ati vijiji.