Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uliwah kujiuliza kwann alivoapishwa Xi jinping safar ya kwanza akaja tanzania ushawah jiuliza hilo swali ??😅😅😅😅😅
Hawa wajinga hawajui kuwa wao ni vilaza na miaka yote wamejikita kwenye kutekeleza matakwa na interest za westerners.

China na wao ni biashara tu kupiga hela, sio zaidi ya hapo.
 
Sababu ilikuwa kwa mpango wa serikali.
Ama unadhani state visit inaamkiwa leo na wiki ijayo ishafanyika?

Na sijui unachosema. Chinese presidents wamefika Kenya mara nyingi tuliwazoea 😂 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jibu swali kwanza 👇👇👇
Uliwah kujiuliza kwann alivoapishwa Xi jinping safar ya kwanza akaja tanzania ushawah jiuliza hilo swali ??😅😅😅😅😅
 
Boss kuna thread yako kwenye hili jukwaa unahusu mambo ya Mining reforms .
Kamaa hii

Vitu vingine ni kupotezea mkuu. Subir mtanange 2025, yule bibi lazima apumzishwe kwao na watu haohao ndan ya cabinet ya sasa. Saiz mnaweza msinielewe, lkn mda utaongea. Niko pale nausubir ufike
 
Wengi tulifaham na hatukuwa na shida na incompétence yake sababu tulitambua alijikuta tu pale na ilikuwa ni lazima atimize takwa la kikatiba,
Tatizo Linaanza pale anaponogewa na kujiona kama anaweza na anataka aendelee 2025 ,
Sasa hivi nchi imepiga hatua elfu nyuma but bado anaona anaweza endelea. Hata baraza lake la mawaziri na makatibu wakuu none of them takes her seriously.
 
Hakika, kiongozi asiye na maono, wala guts za kufanya maamuzi sahihi upotevu wa muda .
Wengi tulifaham na hatukuwa na shida na incompétence yake sababu tulitambua alijikuta tu pale na ilikuwa ni lazima atimize takwa la kikatiba,
Tatizo Linaanza pale anaponogewa na kujiona kama anaweza na anataka aendelee 2025 ,
Sasa hivi nchi imepiga hatua elfu nyuma but bado anaona anaweza endelea. Hata baraza lake la mawaziri na makatibu wakuu none of them takes her seriously.
Vichwa maji wa Kimwendazake mko wengi sana humu jf.

Zaidi ya kuropoka huwezi thibitisha Nchi ilivyorudi nyuma na Mimi naweza kukueleza maelfu ya hatua mbele.
 
Mwambie mwanao alete mrejesho, hapa

1697662876984.png
 
Back
Top Bottom