Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
Wewe povu zako tumezizoea hapa. Sasa mtu hajui definition ya three-level interchange ananiambia nini?Hiyo inaitwa three level interchange, hamjawahi kujenga kama hiyo from the scratch, zaidi ya kuungaunga tu ilimradi mshindane na Tanzania 🤣🤣🤣🤣
But again, hilo eneo limeshabadilika hivi tunavyoongea, nkipata picha mpya nitaiweka humu, hizo nyumba zimeondolewa now, hapo ni pamoto sana kwa sasa.