Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari nazozipenda😂😂😂
Screenshot_20231014-183211.jpg

Kitambo ilikuwa eti northern Kenya haina barabara. Sasa wimbo imebadilika. Mtasumbuka sana mibongolalala
If you show them houses next they will ask wanalalia nini?…. They would wanna see the beds…… typical low IQ Bongolalas….I have come to realize Bongolala is not an identity but a mental disorder and Best 007 is the carrier…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani uwanja umechezewa watu maarufu kina KAKA' wa Brazil, kina Eto'o, kina Drogba na sasa wanakuja watu mashuhuri kutazama game alafu eti fainali isichezwe hapo ipelekwe katika kijiji kinachoitwa Entebe, nani kasema.

Kijiji cha nairobi sijakiongelea mana Kenya haitoandaa AFCON 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu FIFA president ndani ya mwaka anakuja mara ya tatu! Kuna watu walikuwa wanapinga Hoteli in proximity to Lupaso stadium na huku kuna Sabasaba grounds na bandari in proximity pia!
 
If you show them houses next they will ask wanalalia nini?…. They would wanna see the beds…… typical low IQ Bongolalas….I have come to realize Bongolala is not an identity but a mental disorder and Best 007 is the carrier…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
These people are just delusional. That's the best way I can describe them
 
Yani uwanja umechezewa watu maarufu kina KAKA' wa Brazil, kina Eto'o, kina Drogba na sasa wanakuja watu mashuhuri kutazama game alafu eti fainali isichezwe hapo ipelekwe katika kijiji kinachoitwa Entebe, nani kasema.

Kijiji cha nairobi sijakiongelea mana Kenya haitoandaa AFCON 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanakuja kwasababu ya influence ya Al Ahly sio nyinyi makapuku mnao fungwa na Kenya kwa miaka 15. Endeelea kujifariji utapoa tu!
 
Back
Top Bottom