ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,470
- 88,594
Unaongea utopolo na upuuzi baada ya kukosa hoja.Sababu za kuongezaka mapato ziko nyingi, tozo inayowabinya wananchi wa kawaida imeongeza mapato lakini inaumiza wananchi wa kawaida.
Uchumi wa kweli unatokana na uwekezaji wa ndani, ni baada ya kujjdhatiti ndiyo mnaleta wageni. Marekani na South Korea walifunga masoko yao kwa miaka mingi, mpaka walipojitosheleza ndiyo wakafungua nchi zao. Nyinyi waswahili hamtengenezi hata vijiti vya meno mnataka mfungue nchi? Ujuha huo.
Mara hii umeisahau Rites ya india iliyokuwa imenunua TRC? Kujenga SGR ya umeme (zaidi ya 1500Km) ni jambo la kawaida? Nitajie nchi gani Afrika iliyofanya hivyo?
Kuwaminya wananchi kwenye tozo ili kulipa madeni ya chanjo za Covid sawa ila kutumia hizo pesa kuendesha mashirika ya umma, kosa. Akili za tumbili hizi.
Mtanzania kubishana na mkenya kuhusu soka ni kujishusha hadhi, nyie mnaofungwa na South Sudan, ndiyo ni argue na wewe?Bado haibadilishi rekodi ya kuwafunga miaka 12.
Sukuma gang mnasomeshwa namba legacy inasahaulika 😁😁😁aisee, naona naongea na robot la CCM hapa, ngoja nichukue ushauri wa The best 007 niachane nalo.
Kuna nn kipya hapa, kuna cable bridge? Kuna electric train inakatiza? Kuna nn hapa cha ajabu ambacho Mogadishu hakuna, apartment?🤣🤣🤣🤣Acha fujo. Angalia hizi picha vizuri. Kisha fikiria Dar es Salaam, kama mtu anayeijua Dar es Salaam. Kisha vuta taswira.
View attachment 2781378View attachment 2781379
The real JKIA without make up
Sgr ya Tanzania Ina sehemu maalumu ya kwenda,hiyo ya Uhuruto ndio iliishia porini baada ya kuingiza mjini na Wachina 😂😂😂halafu mama anaenda kuzindua SGR phase VI kipande cha Tabora-Kigoma wiki inayokuja!
wamebaki na majungu tu kupitia the East African!
"No papers and pens" hiki alichoshika rais wako na hilo la pembeni ni mkund.u wako huu 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣During a cabinet meeting in Kenya. No papers and pens. Only tablets
View attachment 2781383View attachment 2781384
Northern Kenya hakunaga nyumba huko zaidi ya barabara zinazokatiza kutoka counties zingine?Every village in Kenya is under transformation. Here is west Pokot
View attachment 2781385View attachment 2781387View attachment 2781388
Hii failed state inayoitwa Kenya haina uwezo wa kuandaa AFCON, hilo lipo wazi kabisa wala hakuna haja ya kuanza kubishana bishana nao.Mkuu The best 007 nakazia na mimi kunyalazy awaandai afcon 2027
Sema tu umeumia kijana wa Tandale. Picha zinarudiwa huku pande zote. Sijaona picha mpya ya Dar imepostiwa huku, ni yale yale since 2017 so wacha kujifariji na na maneno mengi yasiyo na maana.Wakati nyie mnarudia rudia picha kwa vitu vile vile on a daily basis, sisi tunazidi kuwaacha kwa kufanya mambo mapya na kujenga miji mipya kila inapoitwa leo