Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati ule Magufuli ameanza kununua bombadier wakenya walitucheka sana hawakujua kwamba yule mzee alikuwa serious, now tunawacheka wao, tuna Airbus a220 nne, ni nchi mbili tu za Afrika tunazo, sisi tukiwa wa kwanza, tuna dreamliner mbili na moja inakuja soon, tuna cargo plane ya kisasa kabisa wakenya na vinchi maskini vya ukanda huu hawana, alafu tuna B737 Max ya kisasa kabisa na nyingine inakuja, wakenya hawana na hawatokuja kuwa nayo in the near future. Yani AFCON ya 2027 ndiyo itatusimika rasmi kwamba Tanzania ni upper middle income country 🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣….. kicks of a dying horse…. Stop playing fool with me…. Kwanza umerundia same hotel moja posted earlier..You know I never said about ownership but target market…Kizungu kweli ni ngumu..🤣🤣.. of course Wazungu hawajengi mahoteli Bongo…. But back to the topic… the owner just said the main customers are mine explorers… so it’s business ventured as opposed to just leisure….. Lakini Kenya hotels za Ushago ni za leisure ya domestic tourists, the thriving middle class…. Keep living in denial…. We are not in the same league…. Just accept and move on… Lol
 
We jamaa ndio mana likwambia kuanzia mwanzo we ni mwehu.. sasa hao mine explorers ni akina nani.? Ni wazungu..? Aren't they middle class Tanzanians.. .? 🤣🤣🤣🤣
 
We jamaa ndio mana likwambia kuanzia mwanzo we ni mwehu.. sasa hao mine explorers ni akina nani.? Ni wazungu..? Aren't they middle class Tanzanians.. .? 🤣🤣🤣🤣
You still don’t get it….. so the primary factor ni mines …. Hata Turkana they started building hotels once oil was discovered to target explorers …. Huelewi Kizungu?.. we are talking about Leisure travel ya ordinary citizens just traveling ka watalii , a sign ya mtu kuwa na úwezo wa fedha….That’s what this ushago hotels battle is about… domestic tourism sio mine exploration, 🤣🤣…. And so far you have shown one “mine explorers “ hotel…🤣🤣🤣🤣🤣🤣…. Tuendelee au tusiendelee?
 
Back
Top Bottom