NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,025
- 19,198
Story za jaba.Tuliza munkar kijana usipanic we Tanzanians š
Story za jaba.Tuliza munkar kijana usipanic we Tanzanians š
Sisi tayari tunao uwanja usio na running track na unatumika kwa mechi za CAF, hata timu zenu kama zingekuwa na uwezo wa kufika mbali zingetumia huu uwanja, sasa nioneshe wewe uwanja wenu ambao hauna running track.A stadium like that is ugly for AFCON finalā¦. Running track has no place in modern footballā¦. Have you seen a running track in top Euro Leagues or the World Cup venues?ā¦. Wajinga nyinyiā¦Final ni hapa tuā¦View attachment 2767927
So, kwahiyo umekubali kwamba mpaka sasa hakuna kiwanja bora zaidi ya hicho hapa EA.This stadium is just average. A recent stadium that looks like this is nothing to talk about. Any serious stadium to be constructed for the AFCON games will easily beat this concrete monstrousity in quality.
š¤£š¤£š¤£š¤£ Eti makatunistMakatunist, sisi tupo serious nyie mnaleta ukatuni. AFCON haichezeki kwenu, na niwaambie tu hii itakuwa ndio kipimo cha kujijua uhalisia wenu.
Kwani Bongo hamna wachoraji ā¦. Shenzi typeā¦š¤£š¤£š¤£Design ni kuchora tu mzee wangu š¤£š¤£š¤£ au design ni kujenga.? š¤£š¤£
Wacha Ujingaā¦ššWe were going to do it alone anyway but we were approached by our brothers on joint bid hence there was no reason of us being selfish so we agreed for the sake of spirit of EA.
Mji wote wa Dom government city umekuwa designed with Tanzanians themselvesKwani Bongo hamna wachoraji ā¦. Shenzi typeā¦š¤£š¤£š¤£
Utajua hujuiā¦.šš
Nimecheka sana akiAll hat no cattleā¦.. we give you prove you respond with nothing but just nonsenseā¦. Stay scared ⦠Kenya si ligi yenu..Hakuna battle hapa⦠let me remind you the AFCON 2027 opening and final ceremony venueā¦š¤£š¤£View attachment 2767825
Kwa render tuu hamjambo.All hat no cattleā¦.. we give you prove you respond with nothing but just nonsenseā¦. Stay scared ⦠Kenya si ligi yenu..Hakuna battle hapa⦠let me remind you the AFCON 2027 opening and final ceremony venueā¦š¤£š¤£View attachment 2767825
Mwambie mwenzio The Best 007 atupe support leo maana iwe jua iwe mvua lazima mnyama apite kwa kishindo šMimi ni Yanga kindaki ndaki ila kesho naisapoti simba 100% ili TZ tuwekee historia kutoa timu 2 kwenye 16 bora ya vilabu barani afrika
Hata kwenye SGR tuliambiwa hivyo hivyo tena kwa vibwagizo pendwa kama the ultra modern, state of the art etc but in the end we all saw what we gotš¤£š¤£š¤£Meza wembe⦠this will be the most modern stadium ukanda huu⦠šššView attachment 2767914
Siku zinapokaribia za AFCON naona Tanzania anakwenda kubeba mzigo wote wa AFCON peke yake maana sioni seriousness kwa hawa wenzetu. Kwanza hela ya kula siku mbili taabu ndio itakuwa yakujenga viwanja vipya?Hii michoro tu nyie bila foreigners hamna kitu.Kila kitu kizuri Kenya ni foreigners ndio wanaown kwa vile hakuna foreigners anaweza kutoa fedha kujenga uwanja mtakuja na vitu vya ajabu ajabu
You didn't initiate the bid, ni mdomo tu mko nayoWe were going to do it alone anyway but we were approached by our brothers on joint bid hence there was no reason of us being selfish so we agreed for the sake of spirit of EA.
Mnazi mmojaUngeshafanya hivyo
KisutuUngeshafanya hivyo