The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,066
- 1,182
Hakuna siku ikatokea mkenya aka save msg alafu akashinda mbele ya mtanzania, never never never, unaongelea render ambayo hata serikali yenu haiijui, lkn hata kama mkijenga haitakuwa shida mana tayari sisi tunavyo viwanja bora ambavyo ni approved na bado tunajenga vingine vipya na sio kimoja.I will save this 4 the laughing party 2027….🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa jinsi anavyojipenyeza katikati ya Magari, Wonder what is he driving, Punda? 😂😂😂😂
Mambo ya kawaida haya Tanzania, FYI kwa sasa tumeanza kuachana na nyasi bandia cz ni indicator ya umaskini, nyasi bandia zinaumiza wachezaji, ligi yetu ni bora Afrika hayo mambo ya nyasi bandia za msaada tunaachia nchi maskini na zinazojikokota kwenye soka.We got a few of these Kutoka kitambo ….View attachment 2768590View attachment 2768591
Wasikilize wakunyata wenzako wenye akili ww kilaza,Tanzania ndio baba yenu pumbavu zenuWatanzania wenyewe wanaijua eti hawana akili!!!
View attachment 2768639
Who is think different??😅😅😅Watanzania wenyewe wanaijua eti hawana akili!!!
View attachment 2768639
Asante kwa render 😅😅😅
Time qualify Champions league hatimae. 👇
View: https://www.instagram.com/p/Cx3Ebk-NElk/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Wakenya wakionesha maisha yao halisi huwa wanachekesha kweli, sasa kama huyu tayari tushajua life lake ni la ku struggle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yuko kwa Bodaboda hapo halafu ana-claim driving! Ukunya ni tabia! hata akiwa kwa mgongo wa punda ata-claim ana-drive! 😆 😆 😆
Kwanini husemi ukweli kama ulikua umepanda bodaboda or maybe Punda.? 🤣🤣🤣 Unakatiza katikati ya magari and claiming that you driving.? 🤣🤣🤣 Okay so now tell us what were you driving.? Joker .. poor man
Kama aliua kwa kukusudia nayeye atauwawa atake asitake, ni maagizo kutoka kwa Mungu, jino kwa jino, upanga kwa upanga.Watanzania wenyewe wanaijua eti hawana akili!!!
View attachment 2768639
Nafkiri kuna siku niliwahi kusema hapa kwamba, hii battle sasahiv imepoteza mvuto kwasababu imekua ni kenyans empty talks VS Tanzanians development. 🤣🤣🤣 Sasa heb ona club yao kubwa hata kulipa mishahara hawawezi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣