Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We were going to do it alone anyway but we were approached by our brothers on joint bid hence there was no reason of us being selfish so we agreed for the sake of spirit of EA.
Who is we? Who approached coodip? Who would approach a dumb keyboard warrior like you for anything?
 
Kwa hivyo ardhi Tena ni yetu? What happened to "wakenya hawamiliki ardhi"?
Mnamiliki ardhi kidogo vijijini ya kurithi tuu mijini hamna kitu ardhi yote iko chini ya wajanja. Hata hivyo wajanja wameshaanza kuja kijijini kuchukua kilicho chao.
 
Hii bid ya Afcon nchi Gani iliiipeleka mbele???
Nchi yenye ligi bora EA CAF ranking position 5, nchi yenye CAF accredited stadiums, nchi ambayo ni active member wa CAF, nchi inayotoa timu 4 kila mwaka kwa CAF competitions, nchi yenye timu bora ukanda huu Simba Sports Club, nchi yenye mashabiki wengi wa football ukanda huu, nchi yenye International airports sehemu zote AFCON itakapochezwa, nchi yenye 5 star hotels kwenye maeneo yote AFCON itakapochezwa, ligi yenye pesa ndefu kuliko zote sub saharan Africa ukiondoa SA.
Vipi bado tuendelee.
 
Hii bid ya Afcon nchi Gani iliiipeleka mbele???
Sisi tulikuwa na malengo ya kuandaa AFCON kitambo sana na ndiyo maana kwanza tulianza kuandaa ya watoto baada ya hapo tukaona sasa tunaweza kuandaa AFCON, nyinyi mmedandia tu. Kwanza wewe si hupendi mpira wa Afrika inakuwaje unaleta matako yako tunapoongelea mpira wa Afrika.
 
What has brt got to do with afcon?
How do you expect visitors to move around in that shit hole capital of yours?

People need modern transport for easy navigation in and around the city and this is enabled by modern transport system such as BRT.
The last thing visitors need ni city guides 🤣🤣🤣
 
Sisi tulikuwa na malengo ya kuandaa AFCON kitambo sana na ndiyo maana kwanza tulianza kuandaa ya watoto baada ya hapo tukaona sasa tunaweza kuandaa AFCON, nyinyi mmedandia tu. Kwanza wewe si hupendi mpira wa Afrika inakuwaje unaleta matako yako tunapoongelea mpira wa Afrika.
Wazee wa rugby 7 aside!
 
But we are the same Kenyans that designed your tallest building, same Kenyans that designed your Parliament in Dodoma…. Should I go on…. ???…. Shame on you!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Design ni kuchora tu mzee wangu 🤣🤣🤣 au design ni kujenga.? 🤣🤣
 
Nchi yenye ligi bora EA CAF ranking position 5, nchi yenye CAF accredited stadiums, nchi ambayo ni active member wa CAF, nchi inayotoa timu 4 kila mwaka kwa CAF competitions, nchi yenye timu bora ukanda huu Simba Sports Club, nchi yenye mashabiki wengi wa football ukanda huu, nchi yenye International airports sehemu zote AFCON itakapochezwa, nchi yenye 5 star hotels kwenye maeneo yote AFCON itakapochezwa, ligi yenye pesa ndefu kuliko zote sub saharan Africa ukiondoa SA.
Vipi bado tuendelee.
Ligi pekee Africa ambayo mechi zake zote zinaoneshwa live.
 
How do you expect visitors to move around in that shit hole capital of yours?

People need modern transport for easy navigation in and around the city and this is enabled by modern transport system such as BRT.
The last thing visitors need ni city guides 🤣🤣🤣
Ask expats who choose to live in this city over your glorified fishing Village how they move around here.

Ask employees of global organizations who choose Nairobi over your glorified fishing Village how they move around in Nairobi.

Ask embassies representing their countries in Tanganzania why they choose to live in Nairobi and not Dar is slum and how they manage to move around in Nairobi
 
Mnamiliki ardhi kidogo vijijini ya kurithi tuu mijini hamna kitu ardhi yote iko chini ya wajanja. Hata hivyo wajanja wameshaanza kuja kijijini kuchukua kilicho chao.
So umeamua kufanya remix ya ule wimbo "wakenya hawamiliki ardhi" and this is the best you came up with? Rudi studio nani...this one will not sell
 
All hat no cattle….. we give you prove you respond with nothing but just nonsense…. Stay scared … Kenya si ligi yenu..Hakuna battle hapa… let me remind you the AFCON 2027 opening and final ceremony venue…🤣🤣View attachment 2767825
Makatunist, sisi tupo serious nyie mnaleta ukatuni. AFCON haichezeki kwenu, na niwaambie tu hii itakuwa ndio kipimo cha kujijua uhalisia wenu.
 
Back
Top Bottom