Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You didn't initiate the bid, ni mdomo tu mko nayoView attachment 2768411
Hawa ni vichaa. I've come to realize Tanzanians have the most sheep mentality of all countries in Africa. A random person can begin a random narrative on the internet and within days, every Tanzanian is singing it and believes it. 😂 😂
 
Hakuna mtanzania hata mmoja aliesema kwamba eti sisi ndio tulienda ku initiate habari za Afcon we kima.. usilishe watu maneno kwasababu mmekula kipigo cha mbwa mwizi. 👇
Screenshot_20231001-134839_1.jpg
hii ndio kitu all Tanzanians in here we agreed to. 🤣🤣🤣 Haya kunya jembe sasa
 
Hakuna mtanzania hata mmoja aliesema kwamba eti sisi ndio tulienda ku initiate habari za Afcon we kima.. usilishe watu maneno kwasababu mmekula kipigo cha mbwa mwizi. 👇View attachment 2768464hii ndio kitu all Tanzanians in here we agreed to. 🤣🤣🤣 Haya kunya jembe sasa
Sasa ni kushift goalposts kama kawaida
Screenshot_20231001-131904~2.png
 
Mnazi mmoja
Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.

This just vindicates me in my earlier statement. Jiji lenu ni Posta na Kariakoo and to some extent Upanga. Kando ya hapo hakuna lingine. Ni vijumba viwili vitatu hapa na pale na hizo nyumba zenu za uswazi mnazopenda sana

Take a look at Eastleigh below and you'll understand what I am trying to say
images (54).jpeg
 
Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.

This just vindicates me in my earlier statement. Jiji lenu ni Posta na Kariakoo and to some extent Upanga. Kando ya hapo hakuna lingine. Ni vijumba viwili vitatu hapa na pale na hizo nyumba zenu za uswazi mnazopenda sana

Take a look at Eastleigh below and you'll understand what I am trying to sayView attachment 2768503
🤣🤣🤣Sasa mbona hii eastleigh bado sana.. unaijua. Ilala.?
 
Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.

This just vindicates me in my earlier statement. Jiji lenu ni Posta na Kariakoo and to some extent Upanga. Kando ya hapo hakuna lingine. Ni vijumba viwili vitatu hapa na pale na hizo nyumba zenu za uswazi mnazopenda sana

Take a look at Eastleigh below and you'll understand what I am trying to sayView attachment 2768503
Ilala tu size yake 👇
tuishi.tanzania-20230306-0002.jpg
hii picha imepigwa kutokea Kariakoo gerezani.. unachokiona mbele kule hiyo ni ilala.. ni sehemu pekee iliyopitiwa na SGR viaduct, BRT roads pande zote nne za hilo eneo. Hilo ndio eneo linafuata kwa idadi kubwa ya magorofa baada ya posta na Kariakoo
 
Looking at your screenshots, I can't help but laugh. Mnazi mmoja is a garden (bustani in Swahili)and it separates Posta from Kariakoo. So in essence, bado upo tu maeneo yale yale ya Kariako/Posta.

This just vindicates me in my earlier statement. Jiji lenu ni Posta na Kariakoo and to some extent Upanga. Kando ya hapo hakuna lingine. Ni vijumba viwili vitatu hapa na pale na hizo nyumba zenu za uswazi mnazopenda sana

Take a look at Eastleigh below and you'll understand what I am trying to sayView attachment 2768503

Today morning drive around Eastleigh

Back
Top Bottom