The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,066
- 1,182
Kuna jamaa hapa nilibishana na yeye kuwa Dar ni mashambani tu mpaka nikachoka. Flyover ya kwanza wamejengewa na Magufuli ndio inawafanya waone wamefika level ya kubishana na Nairobi, a city that has the United Nations Headquaters in Africa. Only African city that was chosen.Swali tu mi niulize! Hii Ubungo iko Town ama ushago. Plz I need an honest answer
View attachment 2757410