ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Generator ya nn wakat umeme upo😅😅 ww unafkiri mm kilaza kama wwUtakuwa umewasha generator nani hajui. 😂😂😂 Sa hizi uko busy wajaza mafuta kwa jenereta daaah!
Generator ya nn wakat umeme upo😅😅 ww unafkiri mm kilaza kama wwUtakuwa umewasha generator nani hajui. 😂😂😂 Sa hizi uko busy wajaza mafuta kwa jenereta daaah!
Munapewa ziko wapi??😅😅😅😅 hvi ww hunijui mm vzr au??WiFi hizo huku kila nyumba zinazo free. Hio yaani tunapewa kama hewa
Wewe wacha panganga chaji simu 😂😂😂Generator ya nn wakat umeme upo😅😅 ww unafkiri mm kilaza kama ww
Sikujui vizuri unadhani wewe ni nani? 😂😂😂😂😂😂😂Munapewa ziko wapi??😅😅😅😅 hvi ww hunijui mm vzr au??
Sasa, mwaka mzima hii kitu hivi tu!?
Bado hawana stima ya kutosha na wanaongea kuhusu burretti train 😂😂😂😂😂😂😂Sasa, mwaka mzima hii kitu hivi tu!?
Hizi bullet train tulizoambiwa 2019, naona mkizitumia 2039!! Hamwezi fanya tu jambo likakamilika mkawaza mengine!? Miaka 20 burret zinakuja..
Magufuli ndio huyo akaenda zake, Mungu amrehemu, hakuziona, mama naye atastaafu bado hajaziona, lakini by 2039 bado Mitanzania itakuwa ikiimba burret train
Siasa tu za chama cha kijani ila kiuhakika sisi tupo south hata kimuonekano tulivyo tuko tofauti sana na kunyan na waganda,tukikaa na wazambia na wamalawi hatuna tofauti hata na wamsumbijiNashangaa wanafosi tuwe ndugu yao wakati sisi ni wa South, honest speaking sipendi kweli wanaposema Tz ipo East Afrika wakati sio kweli, sisi ni wa South.
Unajua Angola is classified as a central African country? Na wapo chini yenu kwenye map 😂😂😂😂. Sisi ni mandugu wacheni siasaSiasa tu za chama cha kijani ila kiuhakika sisi tupo south hata kimuonekano tulivyo tuko tofauti sana na kunyan na waganda,tukikaa na wazambia na wamalawi hatuna tofauti hata na wamsumbiji
Shida ni kwamba mnapenda kujipambaniza kwa wale jamaa wa xenophobia lakini hawana undugu nanyi, nenda kwa group za watanzagiza kule Fb uone vile wiki haipiti bila mmoja wenu kumalizwa. Alafu isitoshe munaitaji visa before arrival wakati wakenya ni visa freeSiasa tu za chama cha kijani ila kiuhakika sisi tupo south hata kimuonekano tulivyo tuko tofauti sana na kunyan na waganda,tukikaa na wazambia na wamalawi hatuna tofauti hata na wamsumbiji
Watz bana ni lazy, hivi si wasimame waulize gava!! Mipango walianza pamoja na, Senegal, Ethiopia, Nigeria....Bado hawana stima ya kutosha na wanaongea kuhusu burretti train 😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka sana🤣🤣🤣Watz bana ni lazy, hivi si wasimame waulize gava!! Mipango walianza pamoja na, Senegal, Ethiopia, Nigeria....
Ethiopia nikamaliza yao
Senegal ikamaliza yake,
Nigeria ikakamilisha ya kwao
Hadi Kenya ikapanga yake ikajenga
Bado Watz wanaimba bureti traini!!
Lazy minds.
Unajua hata katrain kalijaribu hiyo reli kalianguka!!!!? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Exactly. In fact Kenya and South Africa have many similarities than Tanzania and South Africa. South Africa are like our distant cousins. We are probably some of the few countries that have a meaningful constitution, two of the best economies in Sub-Saharan Africa, some of the best developed countries in Sub-Saharan Africa, large English speaking population etc.Shida ni kwamba mnapenda kujipambaniza kwa wale jamaa wa xenophobia lakini hawana undugu nanyi, nenda kwa group za watanzagiza kule Fb uone vile wiki haipiti bila mmoja wenu kumalizwa. Alafu isitoshe munaitaji visa before arrival wakati wakenya ni visa free
Kuna taarifa nilituma hapa some Bongolalas were killed in Jo'burg because of crime. Wanaenda kuharibia wengine nchi wakidhani huko ni KenyaShida ni kwamba mnapenda kujipambaniza kwa wale jamaa wa xenophobia lakini hawana undugu nanyi, nenda kwa group za watanzagiza kule Fb uone vile wiki haipiti bila mmoja wenu kumalizwa. Alafu isitoshe munaitaji visa before arrival wakati wakenya ni visa free
NiliionaKuna taarifa nilituma hapa some Bongolalas were killed in Jo'burg because of crime. Wanaenda kuharibia wengine nchi wakidhani huko ni Kenya
CCM wanawaambia nchi ipo on the right track. Wapo karibu kuipiku Kenya 😂😂😂😂😂😂. Wanaambiwa eti kwa jirani sasa hivi ni moto tu, hawana akiba za Dora 😂😂😂😂Watz bana ni lazy, hivi si wasimame waulize gava!! Mipango walianza pamoja na, Senegal, Ethiopia, Nigeria....
Ethiopia nikamaliza yao
Senegal ikamaliza yake,
Nigeria ikakamilisha ya kwao
Hadi Kenya ikapanga yake ikajenga
Bado Watz wanaimba bureti traini!!
Lazy minds.
Unajua hata katrain kalijaribu hiyo reli kalianguka!!!!? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣