Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Hii inasaidia vipi kuleta stima tanzagiza?Wako busy na maisha ya watanzania 😁😁
View attachment 2757318
Hii inasaidia vipi kuleta stima tanzagiza?Wako busy na maisha ya watanzania 😁😁
View attachment 2757318
Kwa stima ya mgao 🤣🤣🤣🤣
Baaas, Thank You for the new name! Tanzagiza is just perfect 😂😂😂👌👌👌Hii inasaidia vipi kuleta stima tanzagiza?
Aliekwambia hakuna stima ni nani??Hii inasaidia vipi kuleta stima tanzagiza?
Waziri wa Nishati 😂😂😂😂😂Aliekwambia hakuna stima ni nani??
Tuko kwa stima asante.
Waziri wa nishati unamjua ww??😅😅Waziri wa Nishati 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Hasira ya nini brother. Ngoja tu saa tatu hivi na inazimwa 😂Waziri wa nishati unamjua ww??😅😅
Mm niko home na wanangu wanaangali cartoon full wifi 👇👇👇👇
View attachment 2757391
Mm sioni mgao umeme upo full time sijui unazungumzia umeme gani 😅😅😅😅😅
Nakuonesha kua mm umeme ninao full sijui unaongelea mgao gani??😅😅😅😅😂😂😂😂 Hasira ya nini brother. Ngoja tu saa tatu hivi na inazimwa 😂
Waziri wa nishati unamjua ww??😅😅
Mm niko home na wanangu wanaangali cartoon full wifi 👇👇👇👇
Bei ya hii TV ww unakula na ukoo wako miaka 20 kazi yenu kwenda kuhara tu
Samsung curve 2023
View attachment 2757391
Ndio nakuambia upo sahii lakini unazimwa saa tatu 😂😂😂😂. Anza kutafuta generatorNakuonesha kua mm umeme ninao full sijui unaongelea mgao gani??😅😅😅😅
Nasubiri saa tatu ifike nikupigie picha tena 😅Ndio nakuambia upo sahii lakini unazimwa saa tatu 😂😂😂😂
Basi nenda kashtaki hilo gazeti😂😂😂Mm sioni mgao umeme upo full time sijui unazungumzia umeme gani 😅😅😅😅😅
Utakuwa umewasha generator nani hajui. 😂😂😂 Sa hizi uko busy wajaza mafuta kwa jenereta daaah!Nasubiri saa tatu ifike nikupigie picha tena 😅
WiFi hizo huku kila nyumba zinazo free. Hio yaani tunapewa kama hewaWaziri wa nishati unamjua ww??😅😅
Mm niko home na wanangu wanaangali cartoon full wifi 👇👇👇👇
Bei ya hii TV ww unakula na ukoo wako miaka 20 kazi yenu kwenda kuhara tu
Samsung curve 2023
View attachment 2757391