The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
BRT Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚮🚮🐘
Msifosi tufanane, stick to your lane please 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣A big White Elephant. Inaenda na umeme gani? Huo wa mgao ama? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi ni kelele ya generator inafanya uwe na hasira hivi? Ah jamani!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Msifosi tufanane, stick to your lane please 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sie kijiografi tunaingia kabisa southern africa,sijui kwanini tunang'ang'ania huu upuuzi east africa!View attachment 2757336
Baba wa soka East Africa.
Tena nyinyi sio the "Real Giants of East Africa"? Juzi kuna jamaa amesema hapa ni nyinyi 😂😂😂😂😂😂😂😂Sie kijiografi tunaingia kabisa southern africa,sijui kwanini tunang'ang'ania huu upuuzi east africa!
Nashangaa wanafosi tuwe ndugu yao wakati sisi ni wa South, honest speaking sipendi kweli wanaposema Tz ipo East Afrika wakati sio kweli, sisi ni wa South.Sie kijiografi tunaingia kabisa southern africa,sijui kwanini tunang'ang'ania huu upuuzi east africa!
Sawa hatujakataa. Sasa malizia taarifa za Kenya kabla stima zipotee. Kisha chaji simu maana ratiba ya leo inachanganya kidogo. TANESO wanaweza kata stima muda wowote 😂😂😂😂😂😂View attachment 2757341
Wakenya wote ndoto zao ni kuja Tz.
Sisi sio ndugu zenu, sisi ni wa South Africa.Tena nyinyi sio the "Real Giants of East Africa"? Juzi kuna jamaa amesema hapa ni nyinyi 😂😂😂😂😂😂😂😂
So you just admitted the battle is over? 😂😂😂😂Nashangaa wanafosi tuwe ndugu yao wakati sisi ni wa South, honest speaking sipendi kweli wanaposema Tz ipo East Afrika wakati sio kweli, sisi ni wa South.
Sisi ni ndugu, hivi umesahau tena? Nyinyi mnalima kisha sisi tunakula, ndugu wa toka nitoke kweli 😂😂😂😂😂😂Sisi sio ndugu zenu, sisi ni wa South Africa.
Mmesahau mlikuwa mnafaa kulisha East Africa mzima? 😂😂😂😂😂😂Sisi sio ndugu zenu, sisi ni wa South Africa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Udaku kumbe ni tamu hivi. Hivi ndio nyinyi huskia mkifuatilia habari za Kenya? 😂😂😂😂😂
Sisi huwa hatujihusishi na zenu, leo nimeamua tu nichungulie kidogo taarifa zenu daaah! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania is a big joke.
View: https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1704167580942885038?s=20
Aloo amekimbia battle🤣🤣🤣🤣So you just admitted the battle is over? 😂😂😂😂
Kenya is the giant of East Africa. Kama tunawatoa jasho hivyo Southern Africa mnadhani mtawezana? 😂😂😂😂😂😂
Endeleeni kutupatia kazi zile za juu wakati dadako anauza mbususu koinange street🤣🤣🤣View attachment 2757341
Wakenya wote ndoto zao ni kuja Tz.
Leo nimekuwa na udaku kidogo nikaamua kuchungulia nini inaendelea kwao vile wao huchungulia huku. Nimecheka mpaka nimepoteza sauti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aloo amekimbia battle🤣🤣🤣🤣
Umefanya kabwela achanganyikiwe mpaka amehamia south AfricaLeo nimekuwa na udaku kidogo nikaamua kuchungulia nini inaendelea kwao vile wao huchungulia huku. Nimecheka mpaka nimepoteza sauti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Na hii ni siku moja tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndoto kukuja TZ? Nani mwenye akili timamu atoke mahali kuna 24hr electricity supply aende mahali anatumia generator 18 hours a day? 😂😂😂😂😂😂😂View attachment 2757341
Wakenya wote ndoto zao ni kuja Tz.
Tunakuja kuwacolonise. Tanzania should be our colony by the way 😂😂😂😂. We need to colonize these peopleView attachment 2757341
Wakenya wote ndoto zao ni kuja Tz.