Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jengeni tuu ili tuwauzie cement, tiles, glass cladding, umeme, gas etc. Nyie mtapata PAYE tuu 🤣🤣🤣
Hivi ilikuwa muanze 2013? Shida i wapi? Tunangoja umeme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

1695312515006.png
 
Unajua cha ajabu karibu airlines zote zinazotua Bongo kutoka Ujerumani hazitui Dar nadhani kuna pia Eurowings na Edelweis! Zote ni Zanzibar na KIA!

Inabidi Bagamoyo ruins, Kilwa na Saadani wafanye PR ya kutosha kwenye Utalii, washirikiane na Mafia na Mikumi Moro uli kuvutia utalii huu ukanda wa Pwani. Ndio hizo ndege zitaongeza frequency ya kutua Dar.

Inavyoelekea hizo ndege zinaleta watalii ambao tayari wana itinerary yao kutoka Kwa guides wao. Ndio maana wanachagua Airport hizo mbili.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Udaku kumbe ni tamu hivi. Hivi ndio nyinyi huskia mkifuatilia habari za Kenya? 😂😂😂😂😂
Sisi huwa hatujihusishi na zenu, leo nimeamua tu nichungulie kidogo taarifa zenu daaah! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania is a big joke.

View: https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1704167580942885038?s=20
 
Lakini muendelee kufuatilia taarifa zetu. I love seing us bothering you 😂😂😂😂😂😂😂. That shit be warning my heart. Sisi we be minding our business nyinyi taarifa zote zetu mko up to date. I love seing that 😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Udaku kumbe ni tamu hivi. Hivi ndio nyinyi huskia mkifuatilia habari za Kenya? 😂😂😂😂😂
Sisi huwa hatujihusishi na zenu, leo nimeamua tu nichungulie kidogo taarifa zenu daaah! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania is a big joke.

View: https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1704167580942885038?s=20

Broo, nimeona hii kazi unaijua vipoa sana. Endelea tu kutupostia maanake wana hiyo tabia ya kuchokora mitandao ya Kenya wakipost negative news. Waumbue kabisa hadi wakutambue. 😂
 
Back
Top Bottom