Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwezi mkoromea baba yako na mama yako wanakupa chakula la sivyo watoto wa namna iyo uwa wanalala njaa au kama unaona kapange geto lako
Ndio nakuambia hatutaki kulala njaa. Na lazima uende shambani ndio tusilale njaa. Enda ulime si unajua sisi ni wazembe hatutaki kufanya kazi? Wewe enda fanya kazi ndio tukule leo
 
Computers Inna high school ndio zinakufurahisha hivi? I went to high school between 2004-2007 Na kulikuwa na computers kibao. Primary nilikuwa between 1996 - 2003, computer zililetwa mwaka wa 2000. Currently hata Shule za vijijini Na primary schools public Zina computer Na hiyo ndio kitu unajaribu kufkex nayo. Enyewe Bongolala mko nyuma.😂
 
Mlichelewa, sisi shuleni tulishakuwa na computer lab zenye internet miaka ya tisini.
 
By Tuishi.

IMG_0413.jpeg
 
Naona kumbe hadi Uganda walishapata Paypal. Meanwhile, Bongolalas are still waiting to withdraw their cash using our very own MPESA 😆😆😆. Somebody spot Bongolala on this list and I will deactivate this account. Hata wise transfer hawana, wakati huku tunalipwa directly na Upwork to our MPESA accounts, no third party required 😆😆😆

View attachment 2753022
Do u wanna claim again Paypal is ya Makundu?

Back
Top Bottom